Vipi mpenzi wako anapenda kukufanyia nini? Mimi wangu anapenda kunibeba mgongoni!

Unajua nilikuwa nishapiga picha mbele ya kioo nimuoneshe Mpaji Mungu
Nikakumbuka this is JamiiForums 🀣
Ningenunua hisa za JF nakuandikishia ww kwenye terms za manunuzi ningeweka kipengele cha wewe kumjua member yeyote kwa utambulisho halisi
 
Kama unamzigo wa hivyo hata mm nitabeba sana maana unafaidaa kwa nyanja mbalimbaliπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…