Vipi mpenzi wako anapenda kukufanyia nini? Mimi wangu anapenda kunibeba mgongoni!

Vipi mpenzi wako anapenda kukufanyia nini? Mimi wangu anapenda kunibeba mgongoni!

Me sijasema ni mambo yako huyo uliyenae anaweza akakosea ukashangaaa imoooooo🤣🤣
😂 Kuna seal huko, hata akikosea ule mdudu wa haja hauwezi kupita kirahisi hivyo.
Ila ikitokea amejaribu kutelezea huko Sim2, hicho kibao nitamuwasha, ataenda kusimulia kwao!
 
Back
Top Bottom