Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,721
- 98,896
Kaoge kwanza nijipime 🤣Kiuno size ngapi? Nijibu chapu naenda kuoga hapa😁
Kaoge kwanza nijipime 🤣Kiuno size ngapi? Nijibu chapu naenda kuoga hapa😁
Mzee anazingua 😅Oooh kumbe walio single wote ni wachafu na hawapendezi?
Bas sawaaa!!
Yaani na kg zangu 90 aniruhusu kulala pale halafu haumii abarikiwe san 😂😂😂Mungu awape maisha marefu wadada ambao hawana vitambi
Mzee anazingua 😅Oooh kumbe walio single wote ni wachafu na hawapendezi?
Bas sawaaa!!
😂😂😂😂 yaani nimecheka hatariiii.Mzee anazingua 😅
😂😂😂😂 asije kutana na moto etiWe mponze mwenzio akutane na kisiki cha mpingo 😹😹
Aiseee umenikumbusha jambo muhimu sana vikoba na marejesho heeeee 😂😂😂😂kwanza kama humuelewi mwenzio vizuri utasema kakununia😂😂😂😂
Plus vikoba mixer betting yaani watu mnaishi Kama sijui vile nini....
Stress after stress
😂😂😂😂😂Eeeeh mbona utaimba utembee nayeNimetafuta tenzi namba 116 ni ile nyimbo Bwana U sehemu yangu 🤣🤣
😹😹😹 Wa petrol😂😂😂😂 asije kutana na moto eti
Yaani na kg zangu 90 aniruhusu kulala pale halafu haumii abarikiwe san 😂😂😂
Dada nmekumis upo😂😂😂😂😂Eeeeh mbona utaimba utembee naye
Nimecheka sana halafu nimejikuta naisikiliza 🤣😂😂😂😂😂Eeeeh mbona utaimba utembee naye
Ah wapiJivutie kadada kakihaya kakuonyeshe mambo 😂 na akiyarusha maji usiwe mvivu wa kuyanywa sasa 😂😂
Umeianza siku ya Bwana vizuri hakika leo utakuwa na siku njemaNimecheka sana halafu nimejikuta naisikiliza 🤣
Aaaarghh watupumzishe na vitambi vyetu.Kwanza haviumi 😹😹
Nipo mrembo wangu....nimekuwa na majukumu humu naingia nasoma sichangii sana .....uko poa lkn?Dada nmekumis upo
Nipo poa aisee utu uzima jalala sahivi majukumu yanatuandama balaaNipo mrembo wangu....nimekuwa na majukumu humu naingia nasoma sichangii sana .....uko poa lkn?
Ameen 🥰Umeianza siku ya Bwana vizuri hakika leo utakuwa na siku njema
AmenAmeen 🥰
Itakuwa nzuri kwako pia
Hapo sasa 😂😂😂😂😂😂😂 yaani nimecheka hatariiii.
Vichaa wakapata wa kuwaliwaza, sembuse mchafu mwenye utimamu wake? Lol