Vipi mpenzi wako anapenda kukufanyia nini? Mimi wangu anapenda kunibeba mgongoni!

Hivi uvulana mwisho miaka mingapi ila nahisi hujakosea maana dalili kubwa ni kuwa haya yanayozungumziwa humu sijui hata moja
Uvulana unaisha ukishafanya mapenzi na mwanamke au ukiwa juu ya miaka 25.

Hujui kitu kwa sababu hujawahi kuwa na mahusiano au?
 
Uvulana unaisha ukishafanya mapenzi na mwanamke au ukiwa juu ya miaka 25.

Hujui kitu kwa sababu hujawahi kuwa na mahusiano au?
Inawezekana nikawa kavulana kama hayo uliyosema ni kweli yameandikwa hivyo kwenye katiba ya JMT

Walai vile sijawai fanya
 
Huo muda simufanyage kazi uchumi ukuee kuendekeza hizi mambo tunapunguza uchumi na kukuza umaskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…