Vipi mpenzi wako anapenda kukufanyia nini? Mimi wangu anapenda kunibeba mgongoni!

Vipi mpenzi wako anapenda kukufanyia nini? Mimi wangu anapenda kunibeba mgongoni!

Hakuna nguo isiyokuwa na rangi rangi mtani😅
Ila mtani kweli nguo ya orange na kijani na kiatu cha pink, hata kama ni rangi, kwani nyie mmekua upinde 😂
Kila mfano ni sisi wasukuma tu iwe ushamba ni sisi,nguo za rangi rangi ni sisi
Mangine huwa wanawaonea ni ya waha na wamasai 😂
Ila wanaume wa kisukuma tuna sifa moja sitahiki na sahihi kabisa
Wanaume wa kisukuma kwa kupeleka mioto 🙌🙌🙌🙌 ndiyo maana ni kabila linaloongoza kwa idadi ya watu. Mziki wake siyo mchezo 😂😂😂
 
Back
Top Bottom