Vipi mshahara wa Julai umetoka? Je, kuna mabadiliko yoyote?

Vipi mshahara wa Julai umetoka? Je, kuna mabadiliko yoyote?

Nyie vibarua wa Mama Samia acheni kutusumbua humu
 
Miye nawaza kwanini mafisa utumishi wamekuwa wachoyo hivi wameshindwa share nasi payroll mpaka mda huu au bado haijatoka
Hivi maafisa utumishi huwa wanapata payrol kabla pesa kuingia kwa akaunt za watumishi eeh...?
 
Uzi huu ni mahususi kwaajili ya kujuzana kuhusu mshahara wa mwezi Julai. Je mshahara ushatoka? Vipi kuna mabadiliko? Ahsanteni sana.

Baba mwenye nyumba,

Kashai, Bukoba.
Nani kageuka salary alert !!!?????? Jiunge na mobile salary alert ndio suluhisho...!!!
 
Uzi huu ni mahususi kwaajili ya kujuzana kuhusu mshahara wa mwezi Julai. Je mshahara ushatoka? Vipi kuna mabadiliko? Ahsanteni sana.

Baba mwenye nyumba,

Kashai, Bukoba.
Mshahara tarehe 21[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Wale wastaafu wanakutana leo na Kiongozi, sijui watazungumzia kikokotoo?
 
Wale wastaafu wanakutana leo na Kiongozi, sijui watazungumzia kikokotoo?
Watazungumzia nyongeza ya pensheni ya kila mwezi kwani maisha yamepanda kote siyo kwa waliopo kwenye ajira pekee yao.
 
Back
Top Bottom