Vipi mshahara wa Julai umetoka? Je, kuna mabadiliko yoyote?

Daa imeingia sms hapa siamini nachokiona.Ongezeko la hela ya dagaa 34,500/-
 
Low your expectations....sijui ni hivi.....haka kamsemo kagumu sana sana
 
Dunia ni uwanja wa huzuni. Bado dakika chache vilio na huzuni vitamalaki.

Ninawatakia maumivu mema.

Wenye macho tumeshaona yaliyomo hayamo
Mbona ongezeko liko fresh tu. Salary out.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…