Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Jibu hoja kwa hoja,kama huna hoja kama kimya.Msijitoe ufahamu!hata mwendawazimu anajua jinsi binadamu anavyopatikana!embrology gani mudi anaijua!mtakuwa vipofu hadi lini?
Kwa akili yako hukulijua hili hadi usome vitabu vya mudi?hujui mtoto anapatikanaje?hujui nyama inafunika mifupa?bado unaamini nyama inatengeneza mifupa?unaakili wewe?sijui mijitu mingine ikoje?halioni...halielewi....halisikii!kero tupuJibu hoja kwa hoja,kama huna hoja kama kimya.
Uandishi wako wa kigumbaru,wa elimu ya watu wazima,ni thibitisho tosha ya kuonyesha huna elimu.Washindwa hata kuandika majina.Kwa akili yako hukulijua hili hadi usome vitabu vya mudi?hujui mtoto anapatikanaje?hujui nyama inafunika mifupa?bado unaamini nyama inatengeneza mifupa?unaakili wewe?sijui mijitu mingine ikoje?halioni...halielewi....halisikii!kero tupu
Yep imeeleza vitu vilivyokuepo na vijacho. Yaani ukitaka kujua na vijacho vimo huo farao wa Mussa Jaribuni kuutokomeza mwili wake. Fanya uharibifu wa aina yoyote ile uone kama utafanikisha. Ukifanikisha Quran itakua ya uongo!! Maana hilo andiko utakua umelibadili.
Yep imeeleza vitu vilivyokuepo na vijacho. Yaani ukitaka kujua na vijacho vimo huo farao wa Mussa Jaribuni kuutokomeza mwili wake. Fanya uharibifu wa aina yoyote ile uone kama utafanikisha. Ukifanikisha Quran itakua ya uongo!! Maana hilo andiko utakua umelibadili.
Kwa taarifa yako wewe ndio waweza kua mjinga. Ninapotoa challenge kama hiyo nina maana yangu. Walishajaribu sana kuudestroy lakini ikashindikana.Usiwaze kama mjinga. Kuuharibu mwili inawezekana na hamna tatizo lolote. Sema hairuhusiw coz ule ni urith wa kihistoria.utafungwa na utaonekana mpumbavuh .ila usidanganye watu plz ukadhan ni wote ambao hawana elimu dunia
Hujailewa challenge yangu. Ili ku disprove fact hiyo jaribu kudestroy huo mwili.
Ohh na ukitaka vitu vilivyotabiriwa kabla na vimegundulika hivi karibubi mbona viko vingi tu .Anza na the Big Bang Theory. Wameigundua juzi juzi tu lakini Quraan imesema over 1400 years.
Watu wangu wamepotea kwa kukosa maarifa !Kwa taarifa yako wewe ndio waweza kua mjinga. Ninapotoa challenge kama hiyo nina maana yangu. Walishajaribu sana kuudestroy lakini ikashindikana.
Tatizo watu hawa akili zao zimefungwa!hawaoni....hawasikii!Jaffar unaifaham bing bang theory? Maana inawezekana ukawa unazungumzia kitu usichokijua au ambacho tena kitakupa shida kwa iman unayotaka kuizungumzia.muhamad alikuwa akisafiri katika safari zake za vita na kuteka mali alikuwa akikutana na watu wa tamadun nying ambao walimsimulia mambo ambayo yalikuja kuandikwa kwenye kuran.hamna jipya alilogundua.
Kwanza unatakiwa ujue kuwa Quran sio maneno ya Mtume Muhammad. Ni nineno ya Mungu moja kwa Moja. Malaika Jibril ndio aliokua anafikisha kwake kutoka kwa Mungu. Ndio maana aya nyingi zinaanza kwa Waambie ewe Muhammad ama sema ewe Muhammad. Au anaambiwa Waonye watu wako ewe Muhammad. Hiki sio kitabu chenye waandisha mara Luka kasema hiki, mara matayo kasema hiki,Mara paulo kasema hiki.Jaffar unaifaham bing bang theory? Maana inawezekana ukawa unazungumzia kitu usichokijua au ambacho tena kitakupa shida kwa iman unayotaka kuizungumzia.muhamad alikuwa akisafiri katika safari zake za vita na kuteka mali alikuwa akikutana na watu wa tamadun nying ambao walimsimulia mambo ambayo yalikuja kuandikwa kwenye kuran.hamna jipya alilogundua.
Mimi sio Kondoo wa kuchungwa na kamwe siwezi potea.Watu wangu wamepotea kwa kukosa maarifa !
Hebu wewe ambae akili zako hazijafungwa nikuulize. Unaufahamy big bang au unakurupuka?Tatizo watu hawa akili zao zimefungwa!hawaoni....hawasikii!
Kwa taarifa yako wewe ndio waweza kua mjinga. Ninapotoa challenge kama hiyo nina maana yangu. Walishajaribu sana kuudestroy lakini ikashindikana.
Jambo likishakuwa fact inakuwa sio imani tena..... imani ni kuamini ni kuamin mambo yasiyo na fact / no empirical data za kujustify...mtemi well said kimtindo ila imani ndo msingi imani zina onesha tunako toka tulipo na tunapo elekea. asa science wanadamu wamekua akiamini saana kisa in deal na facts asa ukichukua science kuja kupima vitu vya imani science ina kuja kushanga kumbe kitu flani na flani ni true so inaongeza imani zaidi.
Haya enjoy Kaka
Alitumia wings horse na sio warm hole... alienda na farasi mwenye mabawa...Alikua mtume kajua kutoka kwa Mungu wake aliokua akimuongoza na mengine alikua akiyaona njiani mfano safari ya miraaji alitumia wormholes, alipita mbingu zote saba na kadhalika
Hiyo Quran yako unayosema imetoka imekopiwa tu kutoka kwa musa aliyechukua misri so its not a big deal.Umesema kuhusu Tissue za Mafarao. Sasa yule Farao wa Misri aliomsumbua Sana Mussa na wana wa Israel. QURAN imesema mwili wake utahifadhiwa. Wala hautooza ili iwe fundisho kwa vizazi vijavyo. Na ndio maana mpaka leo ukienda Misri utaukuta mwili wake na ndani ya mwili wake kuna organs zote kama moyo, mapafu , utumbo nk. Heby jiulize toka Enzi za Mussa mpaka leo ni miaka Mingapi?
Quran inasema hivi:-
10:90-92
90.
Tukawavusha bahari Wana wa Israili, na Firauni na askari wake wakawafuatia kwa dhulma na uadui. Hata Firauni alipo kuwa anataka kuzama akasema: Naamini kuwa hapana mungu ila yule waliye muamini Wana wa Israili, na mimi ni miongoni mwa walio nyenyekea!
91.
Ala! Sasa? Na hali uliasi kabla yake na ukawa miongoni mwa mafisadi!
92.
Leo, basi, TUTAKUOKOA KWA MWILI WAKO, ili uwe ISHARA kwa ajili ya walio nyuma yako. Na hakika watu wengi wameghafilika na Ishara zetu.
[Quran 6.125] Those whom Allah wants to guide, He opens their chests to Islam; And those whom He wants to leave astray, He makes their chests tight and constricted, as if they are ascending to the sky: Such is the penalty of Allah on those who refuse to believe.
Bullshit!!Ni kweli kabisa kwamba pale Egypt sehemu ya Pyramid ya Giza na sanamu ya Simba pamewekwa au kufichwa sayansi kubwa sana duniani. Mfano ni Golden number na pai ya hesabu ambavyo ukivichanganya kidogo vinakupa speed ya mwanga.
Wa Egypt hawakuwa hawa Waarabu. Hawa waliwavamia real Egyptian na kuwafukuza maeneo hayo. Kuna kila dalili kuwa wale walikuwa Weusi na moja ya mabaki yao yanaweza kuwa ni kabila la Dogon wanaoishi Mali.
Kuna sayari ambazo Dogoni alizisema miaka mingi nyuma ndiyo kwanza Nasa wamekuja kuziona kwa kutumia powerful telescope.
Kuna story kwenye Biblia inasema kuwa kuna watu walikuja kutoka mbinguni na baada yakuwaona Mabinti wa Dunia hii wakawapenda. Wengine wanadai kuwa hawa jamaa walikuja Babylon kuja kutafuta dhahabu. Kumbuka dhahabu ni best material kwa ajili ya kupitisha joto na umeme.
Walipoona hii kazi ngumu sana basi wakawazalisha Binadanu na wale watoto wakawa ni kama binadamu ila Super natural talented. Hawa ndiyo inasemwa walikuja kujenga hizo Pyramid na vitu vingine baadaye.
Vatican hizi siri wanazo siku nyingi na ukiangalia makanisa hata ya zamani sana, walitumia Golden Ratio kujenga. Bendera ya USA imetengenezwa kwa kutumia Golden Ratio. Symbol ya Toyota vilevile.
Swali hapa ni vipi Vatican walijenga hivi? Ni lazima walijua siri hii. Ndiyo maana CIA na Vatican ni marafiki wakubwa na wao ndiyo walinzi wa siri hizi za dunia.
Mwenye hamu ya kutaka kujua hili basi aanzie kufuatilia matukio ya vifo vya wale (Samaki wakubwa?) Waliokuwa wakiokotwa wamekufa kwenye fukwe za bahari. Anzia tukio la wale waliokutwa wamekufa RSA.
Njoo angalia siri ya Pyramid ya Giza. Njoo usome au sikiliza siri ya kabila la Dogoni na hapo utapata mwanga mkubwa wa hizi habari. Dogoni wao wanathibitisha kabisa walitoka angani kwenye sayari ndogo pembeni mwa Sirius.
Refer max Webber amechambua huyu mtume,waislamu wameshindwa kupinga hoja nzito za mwanafalsa huyu,Kuna hoja inaitwa parallelism imemchana vibaya1. Seven heavens-Mbingu kweli saba
2. Worm holes
3. Sea's can seperated and No light down there
4. Bigbang and bing crunch
5. Singularity
6. Black holes
7. Dark matter
8. Gravity
9. Human embrology
10. expanding of the universe
11. Time is relative
12. nerves in skin
13. ice in coments
14. seas
Huyu ni mtume, wote wana science wamekuja kujua kipindi hiki yote hayo.
Lete hizo hoja zake tuzipitie hapa tuone kama ni kweli tumeshindwaRefer max Webber amechambua huyu mtume,waislamu wameshindwa kupinga hoja nzito za mwanafalsa huyu,Kuna hoja inaitwa parallelism imemchana vibaya