papaayenga
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 765
- 503
Hili pia huhitaji kusoma au kuoteshwa na Mungu....nenda kaangalie mto pangani au rufiji maji yake yanapokutana na bahari utaona tofauti!Waliozipa majina hizi bahari na wasafiri wafanyabiashara karne na karne wanajua!labda kwa alah wa maka kwa sababu anajua lugha moja tu huu kwake ni muujiza
Wakati mwingine tujaribu kuzuia uzezeta tulionao
Allah ansema BAHARI wewe unsema MTO hapo anaposema Allah pale yalipokomea maji ya chumvi ktk mchanganyiko na maji barid ukionja ni ya chumvi pia hapohapo yanapokomea ya baridi ktk mchanganyiko na chumvi ukionja ni baridi kisayansi chumvi hubadili ladha ya maji kwa kiasi kidogo nusu kilo ya chumvi yatosha kubadili ladha ya lita 20 za maji matamu. Je. Huko pangani kwako na rufiji yanapatikana hayo?
Kunahaja ya Ndilichako kubadilisha tena alama za ufaulu ziwe juu zaidi.