MasterGamaliel
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 923
- 1,001
Uzururaji wa aina yoyote ile hubadili utamaduni wa mzuraraji na anakofikia pia. Mfano watalii wakija Africa wanachokisema juu ya Afrika huwafanya na wengine waje huku haraka sana ebu fikiria unaambiwa Ukerewe kuna jiwe juu ya jiwe likiwa ziwani linacheza cheza, na kuna mti umeinamia ziwani ila majani yake hayadondokei ziwani, yakidondokea tu ziwani yanakuwa mamba! Kawaida binadamu ambaye hakujaliwa upeo mkubwa akiambiwa hivo huamini kwa moyo wote hata bila kufika akaona.Tatizo ni upeo mdogo wa kufikiri!vitu hivi si lazima usome ndo uvijue?hivi kujua kama tendo la ndoa mtoto anatengenezwa hadi ujue kusoma?kumbuka mudi alikua mfanyabiashara na alisafiri sana kwa ajili ya biashara ni ukweli usiopingika mambo mengi alisimuliwa au alisikia masinulizibya watu wengine!
Kuhusu mbingu saba huu ni ujinga tu kitu kama hicho hakipo!kama unabidha dhibitisha!
Acha kumpa sifa ambazo kimsingi hastahili wala hadhi hiyo hana!
Sasa fikiria Musa Myahudi amefikaje kwa Wengine wasio Wayahudi? Haya ni matokeo ya vita na utekaji, biashara, utafiti (mama jusi) na utalii. Afu mtu baada ya miaka mia 6 hivi anasema ametumiwa kitabu kutoka juu!!
tuwe wepesi ku-relax na ku-restart our thinking tusiwe juu juu tu tumekazwa akili hatuhoji lolote kwa sababu ya maandiko ya kutishia.
MAGIC power za makabila zipo tu na makabila hayatapotea maana yametokea zamani za Muumba!
Naomba kujua mwenye kumbukumbu ya lile Sanduku la Wayahudi (waisrael) lililokuwa linalindwa kuliko chochote liko wapi miaka hii, Sanduku la agano! Maana inaonekana lilikuwa kama ni sanduku la vyanzo vya uwezo mbali mbali wa Wayahudi! Hilo ndio la kutafuta mpaka huko inakosemekana na milango isiyofunguliwaga (VATICAN)