Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Kisa cha jua unachozungumzia,hii ni historia,anaelezew Mtume Muhammad,kuhusu anayeitwa Dhul Karnain,huyu mtu ndiye aliyeona hilo jua,kwa upeo wa macho ya kibinadamu,ndio aliona linatua(tofautisha kuzama na kutua)katika chemchem(ziwa)lenye matope mengi.Huyu ndio aliona hilo jua kutua(sio kuzama).Sasa unakataa na kukubali wewe mwenyewe! mimi na wewe huyo Qathem(Muhammad) nani uelewa mdogo?
je, sayansi inasema jua linazunguka/tembea na kwenda kuzama matopeni kukubaliana na qurani yako??
Mwili wake ulipatikana baada ya miaka mingi sana takribani baada ya miaka 3000. Yaani hapo hata Yesu alikuja na kuondoka bila mwili wa huyu mtu kujulikana ulipo. Na mda wote huo mwili ulikua baharini wala haukuliwa na viumbe wa majini na wala haukuoza.Kweli kabisa zimefanyika attempt nyingi za kuharibu mwili wa farao lakini zimeshindikana,Quran imesema mwili umewekwa pale ili kua ushahidi kwa vizazi na vizazi
Ni mwaka 1898 ndio uligunduliwa mwili wake. Tena wavuvi ndio waliokota ukielea baharini. Wakidhani ni mtu aliekufa jana yake tu!1. Hapana Hakua hai
2. walivushwa baharini.
3. Ndio vyote vilisha tokea
4.nini cha ajabu hapo? cha ajabu hapo kisa cha firauni na mussa kuna mafunzo yakuji funza kutoka kwenye visa vyao, napia science ya sasa imekuja kugundua 1889 miaka hio kama sija kosea na huyu mwili wake haku fanyiwa hi fadhi kama ma pharaoh wengine huyu ali hi fadhiwa na Mwenyezi Mungu ili mpate kujifunza na muogope mungu.
5. ndio historia. watu tuna jifunza kwenye historia tuna jua tuliko tokea tulipo na tunapoelekea ndo maana vitabu vyote via historia.
Weka andiko hapa tafadhali. [emoji23] [emoji115]mbona hushangai mnaposema mimba ya Issa ilitungwa ndani ya masaa 9 na akazaliwa chini ya mtende!
Mwili wake ulipatikana baada ya miaka mingi sana takribani baada ya miaka 3000. Yaani hapo hata Yesu alikuja na kuondoka bila mwili wa huyu mtu kujulikana ulipo. Na mda wote huo mwili ulikua baharini wala haukuliwa na viumbe wa majini na wala haukuoza.
Walipoupata mwaka 1898 walijariby
kuuchoma moto lakini haukuungua.
Walijaribu kuuchoma sumu ya kuuozesha lakini badala ya kuoza ukazidi kunawiri.
Waliuzika lakini baada ya siku kadhaa ukajitokeza tena juu ya ardhi
Ni mengi yamefanywa mwishowe ukaweka kwenye jumba la makumbusho huko misri.
Quran imeandika suala hili kabla hata mwili wa jamaa huyu haujapatikani.
Ni mwaka 1898 ndio uligunduliwa mwili wake. Tena wavuvi ndio waliokota ukielea baharini. Wakidhani ni mtu aliekufa jana yake tu!
Kwani Wewe unahisi tunamuongelea farao gani? Soma mjadala wote kabla ya kukurupukaAcha kukishwa matango pori kaka, unamzungumzia Pharaoh yupi?, maana miili mingi imepatikana, na lini walipotaka kumchoma moto? Lete ushahidi hapa sio kuleta dhana
Wewe kweli kituko[emoji23]Acha uongo
kama huyo aliona hivyo Muhammad alisemaje juu ya hilo?Kisa cha jua unachozungumzia,hii ni historia,anaelezew Mtume Muhammad,kuhusu anayeitwa Dhul Karnain,huyu mtu ndiye aliyeona hilo jua,kwa upeo wa macho ya kibinadamu,ndio aliona linatua(tofautisha kuzama na kutua)katika chemchem(ziwa)lenye matope mengi.Huyu ndio aliona hilo jua kutua(sio kuzama).
Alkahf (18):86
Kwa hiyo alioyeona ni huyo Dhul karnain.
Kwani Wewe unahisi tunamuongelea farao gani? Soma mjadala wote kabla ya kukurupuka
Ukweli ni kuwa hicho unachokisema ni ugunduzi wa Quraan ni uongo, vyote vilivyozungumzwa vilishakuwepo, anza huu uzi polepole utapata ilmuWewe kweli kituko[emoji23]
Haya sema wewe huo ukweli wako
Nafikiri nimeshakuambia,ukitafsiri kitu chochote kutoka lugha moja kwenda nyingine,upo uwezakano mkubwa wa kupotosha maana halisi ya neno la asili.Kila lugha inafuata utamaduni wa watu wanaohusika na lugha.kama huyo aliona hivyo Muhammad alisemaje juu ya hilo?
hebu tueleze kisa hiki anakisimulia nani?
“They will ask thee of Dhu'l-Qarneyn. Say: I shall recite unto you a remembrance of him. Lo! We made him strong in the land and gave him unto every thing a road. And he followed a road Till, when he reached the setting-place of the sun, he found it setting in a muddy spring, and found a people thereabout. We said: O Dhu'l-Qarneyn! Either punish or show them kindness. He said: As for him who doeth wrong, we shall punish him, and then he will be brought back unto his Lord, Who will punish him with awful punishment! But as for him who believeth and doeth right, good will be his reward, and We shall speak unto him a mild command. Then he followed a road Till, when he reached the rising-place of the sun, he found it rising on a people for whom We had appointed no shelter therefrom. So (it was). And We knew all concerning him.” S. 18:83-91 (Pickthall).
Na je hadith hii unasemaje?
5) There is a hadith by Abu Dharr which has Muhammad making similar claims concerning the sunset:
6) Al-Tabari and al-Baydawi both understood this passage in a literal sense.
- “Abu Dharr (one of Muhammad’s close companions) was with Muhammad during the sunset. Muhammad asked him: ‘Do you know, O Abu Dharr where this sun sets?’ He answered; ‘God and His apostle know better.’ Muhammad said: ‘It sets in a spring of slimy water’” – al-Zamakhshari, The Kahshaf (3rd Edition, Vol. 2, p. 743, 1987) [1]
- “The sun sets in a slimy spring: that is, a well which contains mud. Some of the readers of the Quran read it, ‘…a hot spring’, thus the spring combines the two descriptions. It was said that Ibn ‘Abbas found Mu’awiya reading it (as) hot. He told him, ‘It is muddy,’ Mu’awiya sent to Ka’b al-Ahbar and asked him. ‘Where does the sun set?’ He said in water and mud and there were some people. So he agreed with the statement of ibn al-‘Abbas. And there was a man who composed a few verses of poetry about the setting of the sun in the slimy spring.”– al-Baydawi, The Lights of Revelation (p. 399)
- Al-Tabari went so far as to say the pool where the sun sets contains lime (see theConcise Interpretation of Tabari, p. 19 of part 2)[1]
Kama vilikuwepo kwa nini hakuna rejea ya yoyote,ila karibia vyote vinaonekana vingendulika karne hizi za science na technolojia.Ukweli ni kuwa hicho unachokisema ni ugunduzi wa Quraan ni uongo, vyote vilivyozungumzwa vilishakuwepo, anza huu uzi polepole utapata ilmu
Faraoh ninaemungelea hapo ndio yule wa Mussa. Unapingamizi lolote?Wewe ndio usome huu mjadala, naona umeuingilia kati, hilo swali la Pharaoh nimeshalijibu na nimeweka na video kabisa rudi nyumba na uniambie katika hao mapharao nilioweka video zao huyo wa Mussa ni yupi?
Quran imetamka hayo kabla mwili huo haujaokotwa wala kuonekana.Ukweli ni kuwa hicho unachokisema ni ugunduzi wa Quraan ni uongo, vyote vilivyozungumzwa vilishakuwepo, anza huu uzi polepole utapata ilmu
Kama vilikuwepo kwa nini hakuna rejea ya yoyote,ila karibia vyote vinaonekana vingendulika karne hizi za science na technolojia.
Yote yaliondikwa katika Qur'an ni sahihi,na wanathibitisha hilo wasomi na wanasayansi wa karne za sasa(japo Qur'an inajithibitisha wenyewe,haihitaji kuthibitishwa na kiumbe chochote)
Quran imetamka hayo kabla mwili huo haujaokotwa wala kuonekana.
Braza nenda shule tena kasome upya. Utachekwasija sema havikuwepo vilikuwepo ila 1400 iliopita technology ilikua duniiiii saaana tuseme kulikua hakuna ila technology ya sasa ndo wamekuja kuvigundua.
Hakuna,huu mjadala nimeanza toka mwanzo.Kaka rejea zipo, we haujaupitia huu uzi wote ili kujinufaisha kielimu, hapo mwanzo mbona tumeweka rejea nyingi tu?
Hakuna,huu mjadala nimeanza toka mwanzo.