Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Kaka rejea zipo, we haujaupitia huu uzi wote ili kujinufaisha kielimu, hapo mwanzo mbona tumeweka rejea nyingi tu?
Nipe rejea yoyote ya maelezo ya aya Qur'an,yanayoeleza
Qur'an 16:68-69
Hapa panatajwa,utengenezaji wa asali,na inaonyesha nyuki mwanamke ndio anaywtengeneza asali,nipe rejea yoyote kabla miaka 1400,iyopita ilitaja kuwa nyuki mwanamke ndio anatengeneza asali.
 
Kwa rejea zaidi kutokana mada aliyoanzasha Ahmardz, naambatanisha vitabu viwili vilivyo elezea maajabu mbalimbali ya Quran. Vile vile kwa vitabu na makala mbalimbali kuhu mada hii mtu anaweza kuperuzi kwenye mtandao ufuatao, Harun Yahya
 

Attachments

una jipa kazi kumuelewesha???? darasaa alisha sema kweli nimeamini na hapo mtu anakua mgumu kuelewa tuh.
 
 

Kaka elewa kiwa, Wazamani walifanya kila kitu, ufugaji wa kisasa wa Nyuki ulianza enzi za Wamisri, Wachina, wahindi, Waitaliano na hata Wagiriki wa kale, hao watu walikuwa na uelewa mkubwa sana wa Nyuki na hata Muhammad alikopy hizo story kutoka kwa hayo makabila

Hiyo ni picha ya Nyuki kwenye michoro ya Misri


Wafugaji wa Nyuki wa Misri miaka zaidi ya 5000 kabla ya Muhammad


Uvumaji wa Asali miaka 5000 Kabla ya Muhammad


Uvunaji wa Asali miaka zaidi ya 5000 kabla ya Muhammad


Matumizi ya Nta
 
Sikukuambia kuhusu kuvuna,asali,kujuwa kama asali ilikuwa ikitengenezwa na nyuki mwanamke sio nyuki mwanamme.
Swali langu,Qur'an ilitaja nyuki mwanamke ndiye anayetengeneza asali,ni wapi katika rejea kunakoonyesha nyuki mwanamke anatengeneza asali,kabla Qur'an kutaja?
 
Sasa ndio umeongea nini?
wewe unaetetea hizi hoja umesoma hiyo classic Arabic au unskia Shekh Kipoozeo anasimulia kwa kigunya chako nawe ukaitikia aaamin?
ulijuaje kwamba hapana mungu anayepasa kuabudiwa isipokuwa allah, bila tafsir?
by the way. mnajichanganya changanya tu hapa. mnasema iliandikwa in arabic mara in Kuraish lungha ya Muhammad
sasa which is which?
 

Kaka tangu zama hizo, (Ancient time) tamaduni mbalimbali zilikuwa zinainasibisha zana na Nyuki wa Asali na uanamke na mambo yao ya Kimiungu, hivyo hata Muhammad alisikia na kukopi hizo Myth

Pitia hiyo, kisha lete swali lingine
SpiritHills
 
Kaka tangu zama hizo, (Ancient time) tamaduni mbalimbali zilikuwa zinainasibisha zana na Nyuki wa Asali na uanamke na mambo yao ya Kimiungu, hivyo hata Muhammad alisikia na kukopi hizo Myth

Pitia hiyo, kisha lete swali lingine
SpiritHills


Soma na hii kwa upole kaka na utaona Walichokuwa wanakiamini katika uzalishaji wa Asali na huo uanamke
Priestesses of the Bee: The Melissae
 
Wewe ndio unajochanganya,ukiwa classic Arabic,ndio hicho kiarabu cha kisomi,walichokuwa wakiongea kabila la Kuraishi,ambalo ni kabila ndani ya waraabu.
 
Kaka tangu zama hizo, (Ancient time) tamaduni mbalimbali zilikuwa zinainasibisha zana na Nyuki wa Asali na uanamke na mambo yao ya Kimiungu, hivyo hata Muhammad alisikia na kukopi hizo Myth

Pitia hiyo, kisha lete swali lingine
SpiritHills
Bado hujajibu swali langu,ni rejea zipi zilizoeleza kama nyuki,mwanamke ndiye anayezalisha asali.Umeniletea watu walivyokuw wakiabudu nyuki.Swali tofauti na jibu.
Lete rejea zinazoonyesha,kama nyuki mwanamke anazalisha asali,kabla haijatajwa katika Qur'an.
 
Soma hizo article kwa upole utaelewa tu

Lete swali lingine
 
Soma hizo article kwa upole utaelewa tu

Lete swali lingine
Nimesoma mwanzo mpaka mwisho hakuna jibu,kama wewe umeliona,hilo jibu la nyuki mwanamke ndio atangeneza asali,na imetajwa kabla Qur'an kutaja,kilete kipande hicho,nikisome.
 
Hakuna jibu,nimesoma yote sijaona palipoandikwa,kama nyuki mwanamke ndio anazalisha asali.Naona habari za waliondika kuabudu nyuki kwa wakati huo.

Soma hizo article kwa upole utaelewa tu

Lete swali lingine
Hapa hakuna jibu,na pia haya uliyoleta hapa ni ya watu wanaoabudu nyuki,na ni wa miaka 1800,1978,1998 mambo ya juzi juzi.
 
Nilishasema Mudy alikuwa na kaujiniaz flan

Ndio maana nashangaa ktk quran nafikir surat Al baqara yeye mwenyewe mtume wa Allah alisema

Mwaminini Mungu pekee, Allah asiyezaliwa na mwaminini mtume wake pekee asiyejua kusoma wala kuandika.

Hayo ni maneno ya mtume kweli?

Cc: mahmood
 
Leraza,umesoma Gumbaru?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…