Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Ndugu hapo ume -misstranslate hiyo aya na kuigeneralize ikidhi maono yako. Sababu kwenye aya farao anataka kujenga mnara na siyo pyramid. Yakima mahala kwenye Quran panapo mtaja firauni kama mjenzi wa pyramid. Lakini zaidi pyramid zimejengwa kitambo sana na kuna uwezekano wajenzi wake si binadam.
 
Ya Yesu yanaingiaje tena, mbona unaleta maada juu ta Maada?
Ulipojibu na uliweka picha ya uthibitisho wako wa Farao wakitahiriwa. Ndio nikasema hata Yesu kayakuta manake Farao alikuwepo kabla ya Yesu pia. Sasa na wewe Farao kaingiaje mbona ulijubu mada juu ya mada? Umetoa hoja nakujibu kwa hoja.
 
Ulipojibu na uliweka picha ya uthibitisho wako wa Farao wakitahiriwa. Ndio nikasema hata Yesu kayakuta manake Farao alikuwepo kabla ya Yesu pia. Sasa na wewe Farao kaingiaje mbona ulijubu mada juu ya mada? Umetoa hoja nakujibu kwa hoja.

Mi sijazungumzia habari za Pharaoh pekeyake, nimezungumzia, wahindi, wagiriki, Wachina, wa Babylon wa zamani na nimefanya hivyo kuthibitisha kuwa sayansi hiyo wanayoizungumza kwenye Quran ilishafanywa na hao niliowataja
 
mkuu kama ni kitabu au documentary ambayo inazungumzia hichi ulichokisema kwa undani naomba jina lake mkuu niongeze ufahamu
ni pm mkuu
 
Aisee we kama si kiazi basi mbatata
 
Mkuu. Ulipotoa ujumbe wangu, chini yake kuna Film 4 kama sikosei. Hapo utapata shule yote.


mkuu kama ni kitabu au documentary ambayo inazungumzia hichi ulichokisema kwa undani naomba jina lake mkuu niongeze ufahamu
ni pm mkuu
 
Mi sijazungumzia habari za Pharaoh pekeyake, nimezungumzia, wahindi, wagiriki, Wachina, wa Babylon wa zamani na nimefanya hivyo kuthibitisha kuwa sayansi hiyo wanayoizungumza kwenye Quran ilishafanywa na hao niliowataja
Sawa hao wote wametaja sayansi yao, Jee hio yao na ya Quran zimefanana?
Kama ndio naomba uzitaje na uweke hapa tuone ufanano wake.
Pia kumbuka kufanana kwa utabiri wa Taurat, Zaburi, Injil na Quran muandishi wa vitabu hivyo vyote ni Mungu mmoja tu. Kwahio kufanana kwao ni ukumbusho wa muandishi kwa waja wake wa umma mpya.
 

Rudia mwanzo wa hii thread utaona ushahidi wote niliouweka
 
Rudia mwanzo wa hii thread utaona ushahidi wote niliouweka
Huna ushahidi wowote ulioweka,kumetolewa vielelezo vingi kuhusu Qur'an na Sayansi,mpaka lakini waruka ruka,bila jibu.Swali dogo tu la kisayansi la kujuwa ni nyuki mwanamke ndiye anayezalisha asali,kwa ilivyoandikwa katika Qur'an,nikakuambia lete kitabu kabla ya Qur'an kutaja hili.Waleta picha za michoro ya nyuki wa watu waliokuwa wakiwaabudu.
 

Soma usiwe mvivu, majibu yote nimeweka humu, shida umekaririshwa hata huna mda wa kupambanua mambo mbalimbali, we shida yako naijua kaka, ni ngumu sana kwa mtu mwenye uelewa mpana kufanya mnakasha na wewe, am out
 
Mtu asiyejuwa kusoma wala kuandika ndio sembuse aanzishe chuo kikuu?

Ujinga huu.
 
Mtu asiyejuwa kusoma wala kuandika ndio sembuse aanzishe chuo kikuu?

Ujinga huu.
Ndio maana nikakuambia wewe kilaza,wagunduzi karibia wote duniani walikuwa sio wasomi.Mfano aliyegundua garimoshi(train)alikuwa sio msomi ni muuza chai,ailiyegundua umeme na ukamuua yeye mwenyewe hakuwa msomi.
Elimu ni ya kuzaliwa nayo sio ya darasani.
 
Mtu asiyejuwa kusoma wala kuandika ndio sembuse aanzishe chuo kikuu?

Ujinga huu.

Kaka kuna shida kubwa sana, eti chuo cha kwanza ni cha Morroco what about Takshashila university? Waarabu walikaa East african Coast kwa zaidi ya miaka 600, lakini shule ya kwanza Tanzania imejengwa na Waingereza, kwa nini wao hawakujenga hizo shule hapa East Africa hili hali sayansi yote himo kwenye kitabu ?
 
Wewe kweli umechelewa,hivi ukisikia shule ya kwanza kujengwa ya Secondary kabla ya Uhuru ni Old Tanga School,na mpaka leo ipo katikati ya jiji la Tanga,waalimu wa kwanza wa hapo walikuwa waislamu,na Shule ya kwanza ya Secondary baada ya Uhuru ni Tanga Tech sec school,iko Tanga mpaka leo.
Huu mji wa Tanga ndio mji uliokuwa na waislamu wengi sana,waliopata elimu kupitia kwa waarabu waislamu.Hata mjerumani alipofika Tanganyika alikuta tayari kuna wasomi,aliowatumia kwa vyeo vya Maliwali na Maakida(kama wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya).
Hata namba tunazozitumia 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 ni Namba zilizovumbiliwa na waarabu,toka wakati huo mpaka sasa ulimwengu mzima zinaitwa Namba za kiarabu na hata shule tumfundishwa hivyo na vitabu vimeandika hivyo.Labda ulikuwa mtoro wa shule hujajuwa hilo.
 
Hizi ni namba za kihindi, ndio maana kuna namba kongwe za kirumi, soma documents nyingi utaona hilo na hata tuliosoma zamani wote tunazijuwa namba za kirumi na saa zetu mikononi na ikutani ni za kirumi.

Wewe una mahaba yako na waarabu wanachokimudu wao ni ugaidi tu.
 
Si ndio maana nikakuambia ulikuwa watoroka shule,mtafute mwanafunzi yoyote asiye mtoro wa shule,atakuambia Namba za kiarabu.
Kuhusu chuo kikuu cha kwanza ni:
All Qarawiyyin is the oldest existing continually operating and the first degree awarding education institution in the world according to UNESCO and Guineas World records was founded by Fatima al fihri in 859.
Umechelewa wapi,dunia nzima wanajuwa kama nchi za mafharibi ndio wanaotengeneza ugaidi,kwa maslahi yao ya kupora raslimali ya nchi zenye utajiri wa mafuta na madini,Congo,Nigeria,Rwanda,Burundi,Uganda,Liberia huko kote kuna vurugu kuna vurugu kuna waarabu huko?Wakati zipo nchi za kiarabu zimetulia kama :
Dubai
Qatar
Saudia
Oman
Abudhabi
Bahrain
Kuwait
Yemen ya Aden nk
 
Porojo.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…