H1N1
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 4,217
- 1,579
Labda usichojua ni kuwa Huyo mtu asiyjua kusoma na wala kutahiriwa alikuwa hajafanyiwa alikuwa anabeba maelezo ya mitaani kuhusu mambo mbali mbali na kuyanukuu kama yalivyo akisema kapata uvuvio1. Seven heavens-Mbingu kweli saba
2. Worm holes
3. Sea's can seperated and No light down there
4. Bigbang and bing crunch
5. Singularity
6. Black holes
7. Dark matter
8. Gravity
9. Human embrology
10. expanding of the universe
11. Time is relative
12. nerves in skin
13. ice in coments
14. seas
Huyu ni mtume, wote wana science wamekuja kujua kipindi hiki yote hayo.
Kiukweli alikuwa bonge la kunukuu pasipo kuhoji. Hata jua kuzama kwenye tope ilikuwa ni sayansi ya gizani enzi hizo naye akaiingiza kqwnye Quran. Sayansi ya vimondo na mianga kuonekana inaanguka aliambiwa ni makombora ya Mungu dhieldi ya shetani naye akaweka kwwenye likitabu lake.
Na milima kutumika kusawazisha uwiano wa dunia ili isiangukie upande mmoja ni sayansi ya dhama za Giza utaikuta kwenye likitabu lenu. Wayahudi walimpa jina kwa kushika kila analolisikia kwenye vijiwe, litafute