Huyu ana wenzake,siwataji hapa lakini wanajulikana,nimeshawapa uthibitisho mwingi kuhusu Qur'an ilivyo sahihi katika nyanja zote za kielimu.Zaidi mwisho wanabaki hawana hoja za kujibu.
Wajuwa wengi wamekuwa brain washed,kwamba uislamu uko nyums kielimu kwa kutizama makabila yalioko hapa kwetu,ambayo toka asili yao hawana mwamko wa kielimu,wakati wapo pia wa dini zao wasiopenda elimu.Hawajui kama hata chuo kikuu alianzisha Mtume Muhammad (SAW),ndani ya msikiti,na kufuatiwa na chuo kikuu kilichotambulika kwanza dunia nzima,ambacho alianzisha mwanamke wa kiislamu nchini Morocco,na mpaka Leo kipo.Kwa hiyo mtu anaposoma chuo kikuu ajue ni Mwanamke wa kiislamu ndio alianzisha chuo kikuu cha kwanza duniani.