Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Mungu Wa Israel ndo Mungu Wako ? Ntarudi ....
 
Hivi Tanzania ina miaka 600?[emoji15]
Mkuu hebu nenda youtube search Prof. Mazrui utapata elimu kidogo. Hata Wapare nao walishindwa kuuona mlima wa kilimanjaro mpaka wazungu ndio wakauvumbua au sio. Kama historia yako unaipatia huko kwao.
 
Hawa ndio wanavyodanganyana wakiwa kwenye vijiwe vyao,kwamba mwarabu kwa vile aliyekuja Tanganyika ni muislamu basi hakuleta elimu yoyote,laiti angekuja mwarabu mkristo(na ni waarabu ambao hawakuleta manufaa yoyote duniani ya kielimu)angesifiwa kaleta elimu.Mzungu anakuja maeneo ya Pwani ya Africa mashariki anakuta tayari watu wa Pwani ya Africa ya mashariki wana elimu,wanajuwa kusoma na kuandika kiswahili kwa kutumia herufi za kiarabu,kwa vile tayari walishajuwa kusoma na kuandika kwa kiarabu,haikuwa kugumu kwao kujifundisha kuandila kwa herufi za kilatini.
Na ndio ukiwaambia chuo kikuu cha kwanza cha kisasa,kilikuwa Morocco,nchi iliyoko bara la Africa,na aliyeanzisha ni mwanamke wa kiislamu,atapinga kwa nguvu zote,kwa vile mwanzilishi ni muislamu.Badala ya kuunga mkono kwamba Africa ndio mama wa elimu duniani,halafu mwanzilishi ni mwanamke.
 
Mkuu sikio la kufa halisikii dawa, Hao hata uwape uthibitisho kutoka kwenye hio biblia basi watakupinga tu.
 
Hivi Tanzania ina miaka 600?[emoji15]
Mkuu hebu nenda youtube search Prof. Mazrui utapata elimu kidogo. Hata Wapare nao walishindwa kuuona mlima wa kilimanjaro mpaka wazungu ndio wakauvumbua au sio. Kama historia yako unaipatia huko kwao.

Sijakuelewa point yako iko wapi?
 
Hizo sio namba za kiarabu
 
Unachokiongea si cha kwel fanya utafiti...ni faraoh moja tu ndye aliyekaushwa.faraoh aliyekua akiitawala misri kipindi cha mussa
 
Kaka sio Pharao tu ndio walikuwa wanakaushwa, watu wote maarufu na wenye heshima walikuwa wanafanyiwa hiyo huduma, so wako wengi we google tu kaka, King Tut, Remesis ect, hata mtume Jakobo baba yake yusuph alifia Misri na alikaushwa na kusafirishwa kuja Israel kuzikwa
 
Mungu ni mmoja,ndio muumbaji wa kila unachokiona na usichokiona.Hao waungu wa kuanzishwa na binadamu ni feki.
Sidhani kama kuna Mungu hata mmoja kati ya hawa wanaosujudiwa kwa sasa ni wa kweli! Ukishatambua maana ya kuletwa Duniani utapata kuanza kuniamini
 
Ni kweli ila pharaoh huyu haja kaushwa kama wale wengine yule ukaushaji wake special na watafiti walisha uchunguza mwili wakaona sio kawaida alivyo kaushwa.
 
Hiyo story unaipata wapi kaka, hakuna Pharaoh aliyeokotwa baharini kaka, wote walikutwa kwenye Makabiri yaliyomo ndani ya Mapiramidi
 
Story niliweka hapo juu soma vizuri thread utaona mwaka 1889 mwili umeokotwa na he was not mummified kama wengine mwili wake una machumvi ndo kilicho mtunza kama papa wakukausha mjomba ebu fanya research
 
Hizo ni Hoax, Waislamu wanajitahidi kuzitengeneza ili ziendane na Quran, ziko nyingi na za aina tofautitofauti mkuu, hiyo sio habari ya kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…