Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Huna hoja.comPorojo.com
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna hoja.comPorojo.com
Mungu Wa Israel ndo Mungu Wako ? Ntarudi ....Umesema kuhusu Tissue za Mafarao. Sasa yule Farao wa Misri aliomsumbua Sana Mussa na wana wa Israel. QURAN imesema mwili wake utahifadhiwa. Wala hautooza ili iwe fundisho kwa vizazi vijavyo. Na ndio maana mpaka leo ukienda Misri utaukuta mwili wake na ndani ya mwili wake kuna organs zote kama moyo, mapafu , utumbo nk. Heby jiulize toka Enzi za Mussa mpaka leo ni miaka Mingapi?
Quran inasema hivi:-
10:90-92
90.
Tukawavusha bahari Wana wa Israili, na Firauni na askari wake wakawafuatia kwa dhulma na uadui. Hata Firauni alipo kuwa anataka kuzama akasema: Naamini kuwa hapana mungu ila yule waliye muamini Wana wa Israili, na mimi ni miongoni mwa walio nyenyekea!
91.
Ala! Sasa? Na hali uliasi kabla yake na ukawa miongoni mwa mafisadi!
92.
Leo, basi, TUTAKUOKOA KWA MWILI WAKO, ili uwe ISHARA kwa ajili ya walio nyuma yako. Na hakika watu wengi wameghafilika na Ishara zetu.
Mungu ni wa wote.Mungu Wa Israel ndo Mungu Wako ? Ntarudi ....
Hivi Tanzania ina miaka 600?[emoji15]Kaka kuna shida kubwa sana, eti chuo cha kwanza ni cha Morroco what about Takshashila university? Waarabu walikaa East african Coast kwa zaidi ya miaka 600, lakini shule ya kwanza Tanzania imejengwa na Waingereza, kwa nini wao hawakujenga hizo shule hapa East Africa hili hali sayansi yote himo kwenye kitabu ?
Hawa ndio wanavyodanganyana wakiwa kwenye vijiwe vyao,kwamba mwarabu kwa vile aliyekuja Tanganyika ni muislamu basi hakuleta elimu yoyote,laiti angekuja mwarabu mkristo(na ni waarabu ambao hawakuleta manufaa yoyote duniani ya kielimu)angesifiwa kaleta elimu.Mzungu anakuja maeneo ya Pwani ya Africa mashariki anakuta tayari watu wa Pwani ya Africa ya mashariki wana elimu,wanajuwa kusoma na kuandika kiswahili kwa kutumia herufi za kiarabu,kwa vile tayari walishajuwa kusoma na kuandika kwa kiarabu,haikuwa kugumu kwao kujifundisha kuandila kwa herufi za kilatini.Hivi Tanzania ina miaka 600?[emoji15]
Mkuu hebu nenda youtube search Prof. Mazrui utapata elimu kidogo. Hata Wapare nao walishindwa kuuona mlima wa kilimanjaro mpaka wazungu ndio wakauvumbua au sio. Kama historia yako unaipatia huko kwao.
Mkuu sikio la kufa halisikii dawa, Hao hata uwape uthibitisho kutoka kwenye hio biblia basi watakupinga tu.Hawa ndio wanavyodanganyana wakiwa kwenye vijiwe vyao,kwamba mwarabu kwa vile aliyekuja Tanganyika ni muislamu basi hakuleta elimu yoyote,laiti angekuja mwarabu mkristo(na ni waarabu ambao hawakuleta manufaa yoyote duniani ya kielimu)angesifiwa kaleta elimu.Mzungu anakuja maeneo ya Pwani ya Africa mashariki anakuta tayari watu wa Pwani ya Africa ya mashariki wana elimu,wanajuwa kusoma na kuandika kiswahili kwa kutumia herufi za kiarabu,kwa vile tayari walishajuwa kusoma na kuandika kwa kiarabu,haikuwa kugumu kwao kujifundisha kuandila kwa herufi za kilatini.
Na ndio ukiwaambia chuo kikuu cha kwanza cha kisasa,kilikuwa Morocco,nchi iliyoko bara la Africa,na aliyeanzisha ni mwanamke wa kiislamu,atapinga kwa nguvu zote,kwa vile mwanzilishi ni muislamu.Badala ya kuunga mkono kwamba Africa ndio mama wa elimu duniani,halafu mwanzilishi ni mwanamke.
No, Mungu Wa Israel si wawote, wahindi, budha, Shinto etc mungu wao si wa wote.Mungu ni wa wote.
Hivi Tanzania ina miaka 600?[emoji15]
Mkuu hebu nenda youtube search Prof. Mazrui utapata elimu kidogo. Hata Wapare nao walishindwa kuuona mlima wa kilimanjaro mpaka wazungu ndio wakauvumbua au sio. Kama historia yako unaipatia huko kwao.
Wewe kweli umechelewa,hivi ukisikia shule ya kwanza kujengwa ya Secondary kabla ya Uhuru ni Old Tanga School,na mpaka leo ipo katikati ya jiji la Tanga,waalimu wa kwanza wa hapo walikuwa waislamu,na Shule ya kwanza ya Secondary baada ya Uhuru ni Tanga Tech sec school,iko Tanga mpaka leo.
Huu mji wa Tanga ndio mji uliokuwa na waislamu wengi sana,waliopata elimu kupitia kwa waarabu waislamu.Hata mjerumani alipofika Tanganyika alikuta tayari kuna wasomi,aliowatumia kwa vyeo vya Maliwali na Maakida(kama wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya).
Hata namba tunazozitumia 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 ni Namba zilizovumbiliwa na waarabu,toka wakati huo mpaka sasa ulimwengu mzima zinaitwa Namba za kiarabu na hata shule tumfundishwa hivyo na vitabu vimeandika hivyo.Labda ulikuwa mtoro wa shule hujajuwa hilo.
Unachokiongea si cha kwel fanya utafiti...ni faraoh moja tu ndye aliyekaushwa.faraoh aliyekua akiitawala misri kipindi cha mussaSio Pharao mmoja ndio aliyekaushwa, Mapharao na watu wote waliokuwa na heshima zao walikaushwa na wapo mpaka leo, huyo story yako ya kwenye Quran inaelezea hali halisi ya vitu vilivyokuwepo hapo Egypty wala sio ufunuo au kitu kipya kutokea, so Quran imeelezea vitu vilivyokuwepo
Unachokiongea si cha kwel fanya utafiti...ni faraoh moja tu ndye aliyekaushwa.faraoh aliyekua akiitawala misri kipindi cha mussa
Mungu ni mmoja,ndio muumbaji wa kila unachokiona na usichokiona.Hao waungu wa kuanzishwa na binadamu ni feki.No, Mungu Wa Israel si wawote, wahindi, budha, Shinto etc mungu wao si wa wote.
Ntarudi
Sidhani kama kuna Mungu hata mmoja kati ya hawa wanaosujudiwa kwa sasa ni wa kweli! Ukishatambua maana ya kuletwa Duniani utapata kuanza kuniaminiMungu ni mmoja,ndio muumbaji wa kila unachokiona na usichokiona.Hao waungu wa kuanzishwa na binadamu ni feki.
Mungu ni mmoja,jua hivyo.Sidhani kama kuna Mungu hata mmoja kati ya hawa wanaosujudiwa kwa sasa ni wa kweli! Ukishatambua maana ya kuletwa Duniani utapata kuanza kuniamini
Ni kweli ila pharaoh huyu haja kaushwa kama wale wengine yule ukaushaji wake special na watafiti walisha uchunguza mwili wakaona sio kawaida alivyo kaushwa.Kaka sio Pharao tu ndio walikuwa wanakaushwa, watu wote maarufu na wenye heshima walikuwa wanafanyiwa hiyo huduma, so wako wengi we google tu kaka, King Tut, Remesis ect, hata mtume Jakobo baba yake yusuph alifia Misri na alikaushwa na kusafirishwa kuja Israel kuzikwa
Ni kweli ila pharaoh huyu haja kaushwa kama wale wengine yule ukaushaji wake special na watafiti walisha uchunguza mwili wakaona sio kawaida alivyo kaushwa.
Hiyo story unaipata wapi kaka, hakuna Pharaoh aliyeokotwa baharini kaka, wote walikutwa kwenye Makabiri yaliyomo ndani ya Mapiramidi
Story niliweka hapo juu soma vizuri thread utaona mwaka 1889 mwili umeokotwa na he was not mummified kama wengine mwili wake una machumvi ndo kilicho mtunza kama papa wakukausha mjomba ebu fanya researchHiyo story unaipata wapi kaka, hakuna Pharaoh aliyeokotwa baharini kaka, wote walikutwa kwenye Makabiri yaliyomo ndani ya Mapiramidi
Story niliweka hapo juu soma vizuri thread utaona mwaka 1889 mwili umeokotwa na he was not mummified kama wengine mwili wake una machumvi ndo kilicho mtunza kama papa wakukausha mjomba ebu fanya research