Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Labda usichojua ni kuwa Huyo mtu asiyjua kusoma na wala kutahiriwa alikuwa hajafanyiwa alikuwa anabeba maelezo ya mitaani kuhusu mambo mbali mbali na kuyanukuu kama yalivyo akisema kapata uvuvio
Kiukweli alikuwa bonge la kunukuu pasipo kuhoji. Hata jua kuzama kwenye tope ilikuwa ni sayansi ya gizani enzi hizo naye akaiingiza kqwnye Quran. Sayansi ya vimondo na mianga kuonekana inaanguka aliambiwa ni makombora ya Mungu dhieldi ya shetani naye akaweka kwwenye likitabu lake.
Na milima kutumika kusawazisha uwiano wa dunia ili isiangukie upande mmoja ni sayansi ya dhama za Giza utaikuta kwenye likitabu lenu. Wayahudi walimpa jina kwa kushika kila analolisikia kwenye vijiwe, litafute
 
Huyo ndiyo kina Plato na Aristotle walikuwa wanajifunza kwake.
Myuislam hata asome vipi akili yale kama ya mtume wake
 
Huyo ndiyo kina Plato na Aristotle walikuwa wanajifunza kwake.
Myuislam hata asome vipi akili yale kama ya mtume wake
Sasa mkuu kwa akili za mtu kama huyu unategemea Muslim atakuaje? title ya uzi huu tu inakueleza kwamba muhammad alikuwa KILAZA. sasa followers wake si ndio watakuwa vilaza zaidi?

Muhammad huyu anakiri kuwa Jesus will die and rise again. halafu anageuka kauli yake kuwa hakufa bali ilifanyika ile kitu ya watoto wa mjini mnasema changu cheusi, changu chekundu nani kaona(kiini macho)ionekane kuwa alikufa kumbe Allah kamchepusha.

hebu atujibu hii quran yake na Muhammad inasema nini juu ya Yesu(Jesus)

Quran 19: 30-34,
ukilaza unaanzia hapo kwenye Quran 19:35- kuendelea


Quran 19:33
SAHIH INTERNATIONAL
And peace is on me the day I was born and the day I will die and the day I am raised alive."
 
Haacha uchizi yesu ajafa na ndo maana hata rudi na ataishi na mpaka atakufa, kila nafsi itaonja umauti vyote vitaondoka kwenye uso wa dunia na dunia enywe na atabakia yeye mwenywe mwenyezi mungu. yesu ajafa atarudi sie tuna ongelea miracles za Quran and science asa unaleta mambo ya gambia kwenye issue ya north korea. wewe ndo kilaza mnazikana na suti na mapamba mdomoni.
 
Hizo ni Hoax, Waislamu wanajitahidi kuzitengeneza ili ziendane na Quran, ziko nyingi na za aina tofautitofauti mkuu, hiyo sio habari ya kweli
wewe ndo hoax huna hoja kaa kimya una hoja ilete usilete maneno yako ya chuki binafsi kisa umeona wonders, kitabu chenu kina errors za kila namna unaleta porojo unakurupuka sijui umetumwa.
 
wewe ndo hoax huna hoja kaa kimya una hoja ilete usilete maneno yako ya chuki binafsi kisa umeona wonders, kitabu chenu kina errors za kila namna unaleta porojo unakurupuka sijui umetumwa.
Kuhusu errors kaa kimya . Quran ni kitabu ambacho msomaji inabidi ajifanye hajui grammar ndio aelewe. Bahati mbaya miislam ukiionesha matatizo ya Quran inasema kwa kuwa hujui Kiarabu.
Shit kitabu gani kuelewa hadi ukifunze lugha kilichoandikiwa kwanza ? Jibu ni kwamba halitafsiriki kimeandikwa hivyo hovyo huwezi soma ukaelewa nini kiamaanisha hadi upate maelzo ya wanazuoni wanaojitahidi kuingiza mawazo yao ili quran nayo im meki sense
 
Wewe ndio kilaza,uwelewaji wako mdogo.Qur'an iloshasema hakuna ktakochabaki hai.Kila kilichoumbwa kitakufa.Yesu pia atakufa,ila mda wake bado,ukifika atakufa.
 
Hata biblia hii unayosoma sio biblia ni tafsiri ya biblia.Biblia ina lugha Yake ya asili.Tafsiri ya biblia ,kwa ukilaza wenu ndio mumeifanya ndio biblia.
 
Hata biblia hii unayosoma sio biblia ni tafsiri ya biblia.Biblia ina lugha Yake ya asili.Tafsiri ya biblia ,kwa ukilaza wenu ndio mumeifanya ndio biblia.
Biblia haina Lugha ya Asili labda una maanisha vitabu vilivyomo kwenye biblia.
Uwe mpole khusu Errors Quran kuna aya zililiwa na mbuzi kabisa
 
Hamna sayansi yoyote kwenye Quran sijui kwanini mnalazimisha eti ina sayansi. Hacheni ujinga huo
 
Hamna sayansi yoyote kwenye Quran sijui kwanini mnalazimisha eti ina sayansi. Hacheni ujinga huo
Kama wajuwa hamna kwa nini useme hamna.Ukiona mtu asema hakuna kitu Fulani mahali,ajuwe alikiona kipo,ndio akasema hamna.
 
Kama wajuwa hamna kwa nini useme hamna.Ukiona mtu asema hakuna kitu Fulani mahali,ajuwe alikiona kipo,ndio akasema hamna.
Basi atupe maandiko ambayo yanazungumzia sayansi siyo utapeli tu hapa. Kwa kifupi Quran haina sayansi au atuthibitishie hapa!
 
kama upeo na uwezo wa mwanadamu kutenda chochote unatoka kwa Mungu inakuwaje Mungu huyo huyo umwadhibu mwanadamu kwa kutenda kitu kilicho nje ya uwezo wake,pia Mwenyezi Mungu anasema kuwa anakujua wewe hata kabla hajakuumba-kwa maana hyo Mungu alijua fika kuwa hao wafarao wangewatesa wana wa Israel na bado akawaumba ni Nani mwenye makosa hapo hao mafarao au Mungu??
 
Tuongeleeee kuhusu alluminium mkuu kwa nn imeanza kutumika 20th century na kwa nn watu wa zamani walikuwa hawaitumii na ilikiwa ipo nyingi tu kwa ardhi?
Hapa ndipo napochoka na akili zenu
 
Quran imerudia mambo ambayo yaliandikwa kwenye Biblia 2500 years before Quran. Kama swala la kuhifadhi miili lilikuwepo kabla hata Mohammed au Quran kuwepo! Pyramid zilijengwa kwa ajili ya kuhifadhi miili ya wafalme Mafarao/Firauni kabla Quran kuwepo. Quran imeandika mambo yaliyo kuwepo tayari hamna jipya just ya Pharaohs. Danganya kungine.
 
Kwahiyo Allah anapendelea!
 
duh tufanye umeshinda basi maana naona una kazana kutafuta kasoro na una hata moja. kila mtu habaki na dini yake.
 
wewe ndo uache ujinga na roho mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…