Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Hujajibu swali,kwa nini Yesu asikubalike kwao,na asitambulike.Wayahudi hawamtambui Yesu kabisa.Angalau uislamu unamtambuwa Yesu,hata ndani ya Qur'an katajwa,na huwezi kuwa muislamu kamili kama huamini kama Yesu alikuwa Nabii wa Mungu na mama make alikuwa mwanamke bora.Lakini Wayahudi ndani ya Israel,nchi aliyozaliwa Yesu,lugha yao moja,itaduni mmoja,wakristo ni 2.1%.Kichwa cha panzi. Umeambiwa nyembamba kukufanya wewe ushindwe kupita ? Wewe umechagua kuabudu Allah Moon god Mkuu wa miungu ya Alkaaba kwa kuwa amekupa ahadi ya ngono ya kudumu peponi na wajinga wengi wanafuata hivyo njia hiyo ni pana sana
Ficha uzwazwa wako.
Jews ni dini kamili
Haiwezekani hapa kuna kuuziana mbuzi kwenye gunia.Maana huko ulaya kuliko na ukristo hakuna,historia yoyote inayoonyesha alikanyaga nchi za ulaya.Halafu bado huo ukristo ulioko Israel wa 2.1%,uko tofauti kabisa na ukristo ulioko ulaya.Kuanzia biblia,ibada,mavazi na jinsi wanavyofuata maamrisho.Alikuja kwao waliowake hawakumpokea Bali waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika wana wa Mungu na ndio sisi tuliaminio Jina la Yesu Kristo.Umeelewa Kafir muabudu miungu wewe ?
Jiwe walilolikataa waashi tazama limekuwa jiwe kuu la pembeni.Hujajibu swali,kwa nini Yesu asikubalike kwao,na asitambulike.Wayahudi hawamtambui Yesu kabisa.Angalau uislamu unamtambuwa Yesu,hata ndani ya Qur'an katajwa,na huwezi kuwa muislamu kamili kama huamini kama Yesu alikuwa Nabii wa Mungu na mama make alikuwa mwanamke bora.Lakini Wayahudi ndani ya Israel,nchi aliyozaliwa Yesu,lugha yao moja,itaduni mmoja,wakristo ni 2.1%.
Allahuma swalli alaa Mohammad wa aali mohammadMfano wa maji ya chumvi na matamu aya changanyikani, quran 25.53: And He it is Who has made two seas to flow freely, the one sweet that subdues thirst by its sweetness, and the other salt that burns by its saltness; and between the two He has made a barrier and inviolable obstruction.
Enendeni ulimwenguni pote mkawafanye mataifa wote kuwa wanafunzi wangu.Haiwezekani hapa kuna kuuziana mbuzi kwenye gunia.Maana huko ulaya kuliko na ukristo hakuna,historia yoyote inayoonyesha alikanyaga nchi za ulaya.Halafu bado huo ukristo ulioko Israel wa 2.1%,uko tofauti kabisa na ukristo ulioko ulaya.Kuanzia biblia,ibada,mavazi na jinsi wanavyofuata maamrisho.
Habari ya Yesu kutajwa kwenye Quran ni uwongo wa kinafikiHujajibu swali,kwa nini Yesu asikubalike kwao,na asitambulike.Wayahudi hawamtambui Yesu kabisa.Angalau uislamu unamtambuwa Yesu,hata ndani ya Qur'an katajwa,na huwezi kuwa muislamu kamili kama huamini kama Yesu alikuwa Nabii wa Mungu na mama make alikuwa mwanamke bora.Lakini Wayahudi ndani ya Israel,nchi aliyozaliwa Yesu,lugha yao moja,itaduni mmoja,wakristo ni 2.1%.
Mwalimu ameshindwa kazi,anatuma wanafunzi?Ikiwa Mwalimu kashindwa,mwanafunzi ataweza?Na kwa nini hao wanafunzi waende Ulaya mbali,washinwe ndani ya nchi yao na nchi za mashariki ya kati,ambazo ndio nchi ziko eneo moja na Israel.Fikiria sana.Enendeni ulimwenguni pote mkawafanye mataifa wote kuwa wanafunzi wangu.
Kama hakukanyaga aliwatuma wanafunzi wake
Ficha upoyoyo.wako kafir wewe
Na iwe Issa.Lakini mbona huyu Yesu kwao hatambuliki?Ndani ya Israel hatambuliki.Na wala hana wafuwasi,wakristo waliopo ni 2.1% na ni wageni sio wenyeji.Habari ya Yesu kutajwa kwenye Quran ni uwongo wa kinafiki
Aliyeyajwa kwnye Quran ni Isa bin Mariam muhammad ndiye anajua kikaragosi Isa alikitoa wapi sawa na alipotoa Uzeir
Umeishiwa hoja umeanza Viroja. Marehemu Muhammad alipomkarabati Allah yeye ndiye alikuja kumuuza Lindi na Mtwara ?Mwalimu ameshindwa kazi,anatuma wanafunzi?Ikiwa Mwalimu kashindwa,mwanafunzi ataweza?Na kwa nini hao wanafunzi waende Ulaya mbali,washinwe ndani ya nchi yao na nchi za mashariki ya kati,ambazo ndio nchi ziko eneo moja na Israel.Fikiria sana.
Huna jibu,iweje ndani ya nchi aliyozaliwa Yesu kuwe na wakristo 2.1%.Na hatambuliki ndani ya hiyo nchi.Kabila lake wote ni dini ya uyahudi,hawakumkubali,wewe ambaye si kabila lake wamkubali na wasema alikuwako.Ndugu zake hawamtambui.Ingekuwa Waisrael wamemtambuwa,ingekuwa sawa.Umeishiwa hoja umeanza Viroja. Marehemu Muhammad alipomkarabati Allah yeye ndiye alikuja kumuuza Lindi na Mtwara ?
Kafir mkubwa wewe ficha upoyoyo wako
1:Yesu alitamka wazi kuwa "alikuja kwake walio wake hawakumpokea" walio wake ni Wayahudi na Wayahudi ni Taifa lakini pia ni Dini.Kuna vitu vya kuzingatia sana katika ukristo,mnisaidie(siko kwa ajili ya kumkwaza mtu)
1.Kwa nini chi aliyozaliw Yesu,wakristo ni kidogo2.1% na hatambuliki.Tofauti na Mtume Muhammad,alikozaliwa waiskamu ni 100% na anatambulika.
2.Kwa nini kuna biblia tofauti,kila dhehebu lina biblia yake.Tofauti na Qur'an iko moja tu.
Kwa kuwa wokovu mwaukataa, utaenda kwa mataifa, kuktaa kwako uwepo wa Mungu haifanyi Mungu asiwepoHuko Israel,alikozaliwa Yesu,baada ya wayahudi,dini ya pili ni uislamu.Wakristo ni 2.1%.Utasemaje Mtume Muhammad alishindwa kuwaingiza waisrael katika uislamu.Wakati nchi aliyozaliwa ya Saudia ni waislamu 100%,lakini alikozaliwa Yesu wakristo ni 2.1% nani sasa aliyeshindwa kuwaingiza watu wake katika dini aliyoitangaza.100% na 2.1%,tofauti kubwa sana.Mpaka nchi ya jirani ya Palestina kutoka Israel,waislamu ni 85%,wakifuatiwa na wakristo na dini nyingine ndogo ndogo.Wakati Mtume Muhammad majirani zake wote ni kuanzia 100% mpaka 98% hajavuka hapo.Tafakari uchukiwe hatua.
Akili ya nguruwe inatumiwa na binadamKuna kitu cha kujiuliza
1.Uislamu uliletwa moja kwa moja na waliokuwa na Mtume Muhammad,ulimwengu mzima ulikofika.Waliomkubali na kufuata.
2.Lakini ukristo haukuletwa na waliokuwa na Yesu(wairael).Umeletwa na Wazungu,tumia akili mzungu asambaze kitu ambacho sio chenye asili Yake.
3.Ukristo haukutangazwa duniani na waisrael
4.Waisrael,ambako Yesu alizaliwa wana dini tofauti kabisa na ukristo,haifanani kabisa.
Natambua kuwa waislam wengi hamfundishiki. Usipate shidaHuna jibu,iweje ndani ya nchi aliyozaliwa Yesu kuwe na wakristo 2.1%.Na hatambuliki ndani ya hiyo nchi.Kabila lake wote ni dini ya uyahudi,hawakumkubali,wewe ambaye si kabila lake wamkubali na wasema alikuwako.Ndugu zake hawamtambui.Ingekuwa Waisrael wamemtambuwa,ingekuwa sawa.
Jibu umepewa na kwa kuwa akili yako haitaki kuelewa basi omba majini yakusaidieNa iwe Issa.Lakini mbona huyu Yesu kwao hatambuliki?Ndani ya Israel hatambuliki.Na wala hana wafuwasi,wakristo waliopo ni 2.1% na ni wageni sio wenyeji.
Ndio unavyokaririshwa kwamba uislamu uliingizwa kwa nguvu,huo ni ujinga kukarishwa hivyo na ukakubali.Huyo Muhammad alikuwa na nguvu za vipi aweze kuwashinda mabilioni ya watu.Na ikiwa alweza kuwashinda mabilioni ya watu,basi huo ndio uhakika wa dini ya kiislamu ndio dini ya Mungu,maana Mungu kampa nguvu ya kushinda wengine.1:Yesu alitamka wazi kuwa "alikuja kwake walio wake hawakumpokea" walio wake ni Wayahudi na Wayahudi ni Taifa lakini pia ni Dini.
Wao bado wanamsubiri Masihi kwa kuwa alipokuja hawakumwani.
"Jiwe walilolikataa waashi tazama limekuwa jiwe kuu la pembeni" Wanaoitwa Waashi ni hao Waisrael unaosema kwao wakristo ni wachache.
2: Wailsam ni 100% alikozaliwa Muhammad kwa kuwa Uislam ulikuwa lazima na wasio waislam ama waliuawa ama waliteswa na kulazimika kulipia kutokuwa waislam. Sehemu zenye waislam wengi sio rafiki kwa ustawi wa binadam wenye busara ndiyo sababu maelfu kwa maelfu hufa meriteraanian wakienda sehemu zisizo za kiislaam kukimbia Uislam kwa sasa. Huo ni mfano mdogo lakini wazi.
Biblia ni maktaba hivyo kukuta maktqba ikiwa na vitabu tofauti baina ya sehemu ni jambo la kawaida lakini kukuta nakala tofauti za kitabu kimoja hilo ni tqtizo kwa vitabu vya Biblia tqtizo hilo halipo.
Quran iko toauti baadhi ya nchi lakini kukupa credit tz iko moja kwa kuwa aliyeyenfgeneza Quran hii mnayotumia Uthaman aliamua kuchoma moto nakala nyiginezo za quran zilizokuwa sinahitilafiana ili ibaki hii unayotumia aliyoichagua yeye.
Kwa mwenye akili timamu kuhoji kuhusu tofauti za Biblia dhidibya Qur'an angejizuia kwa kuwa Quran iliyopo imepitia njia za aibu ikiwemo kuchoma moto nakala toauti ili watu wasijue kilichokuwa kimeandikwa .
Usiyefundishika ni wewe,Yesu azaliwe na kuishi Israel,dini yake itoke Vatican,Italy.Tumia akili.Natambua kuwa waislam wengi hamfundishiki. Usipate shida
Kafir wewe
Taarifa na maandishi ya kiislam yamejaa tele luonyesha uislam wa awali ulivyoenezwa. Sio huu wa kuzaliana kama sungura kafir weweNdio unavyokaririshwa kwamba uislamu uliingizwa kwa nguvu,huo ni ujinga kukarishwa hivyo na ukakubali.Huyo Muhammad alikuwa na nguvu za vipi aweze kuwashinda mabilioni ya watu.Na ikiwa alweza kuwashinda mabilioni ya watu,basi huo ndio uhakika wa dini ya kiislamu ndio dini ya Mungu,maana Mungu kampa nguvu ya kushinda wengine.
Ukisema watu wa Yesu walimkataa,kwa nini watu wake wamkatae,na pia wasimtambue,wazungu wanasema ukarimu unaanzia nyumbani.Ikiwa wa kabila lake walimkataa,iweje wewe uumkubali.
Biblia kuwa na vitabu tofauti hilo pia ni tatizo kubwa sana,hapajulikani ni biblia ipi ndio ya kufuata.