Ndio unavyokaririshwa kwamba uislamu uliingizwa kwa nguvu,huo ni ujinga kukarishwa hivyo na ukakubali.Huyo Muhammad alikuwa na nguvu za vipi aweze kuwashinda mabilioni ya watu.Na ikiwa alweza kuwashinda mabilioni ya watu,basi huo ndio uhakika wa dini ya kiislamu ndio dini ya Mungu,maana Mungu kampa nguvu ya kushinda wengine.
Ukisema watu wa Yesu walimkataa,kwa nini watu wake wamkatae,na pia wasimtambue,wazungu wanasema ukarimu unaanzia nyumbani.Ikiwa wa kabila lake walimkataa,iweje wewe uumkubali.
Biblia kuwa na vitabu tofauti hilo pia ni tatizo kubwa sana,hapajulikani ni biblia ipi ndio ya kufuata.