Karatasi?Iliandikwa kwenye karatasi
Origin of Life
Water is essential for all living things. We all know that water is vital to life but the Quran makes a very unusual claim:
We made every living thing from water? Will they not believe? (Quran 21:30)
In this verse water is pointed out as the origin of all life. All living things are made of cells. We now know that cells are mostly made up of water[3]. For example, 80% of the cytoplasm (basic cell material) of a standard animal cell is described as water in biology textbooks.
The fact that living things consist mostly of water was discovered only after the invention of the microscope. In the deserts of Arabia, the last thing someone would have guessed is that all life came from water.
Iron
Iron is not natural to the earth. It did not form on the earth but came down to earth from outer space. This may sound strange but it’s true. Scientists have found that billions of years ago the earth was stuck by meteorites. These meteorites were carrying Iron from distant stars which had exploded[4].
The Quran says the following on the origin of Iron:
“We sent down Iron with its great inherent strength and its many benefits for humankind.” (Quran 57:25)
God uses the words ‘sent down’ for Iron. It is clear from the verse that Iron is not an earthly material, but was sent down for the benefit of humanity. The fact that Iron came down to earth from outer space is something which could not be known by the primitive science of the 7th century.
Origin of Life
Water is essential for all living things. We all know that water is vital to life but the Quran makes a very unusual claim:
We made every living thing from water? Will they not believe? (Quran 21:30)
In this verse water is pointed out as the origin of all life. All living things are made of cells. We now know that cells are mostly made up of water[3]. For example, 80% of the cytoplasm (basic cell material) of a standard animal cell is described as water in biology textbooks.
The fact that living things consist mostly of water was discovered only after the invention of the microscope. In the deserts of Arabia, the last thing someone would have guessed is that all life came from water.
Karatasi?
Wewe acha umbayuwayu!Wewe ndio kilaza,uwelewaji wako mdogo.Qur'an iloshasema hakuna ktakochabaki hai.Kila kilichoumbwa kitakufa.Yesu pia atakufa,ila mda wake bado,ukifika atakufa.
Kaka huyo ni SHEITWAAANI!!Kwahiyo Allah anapendelea!
Unayo hiyo Bibilia?Hata biblia hii unayosoma sio biblia ni tafsiri ya biblia.Biblia ina lugha Yake ya asili.Tafsiri ya biblia ,kwa ukilaza wenu ndio mumeifanya ndio biblia.
Mkuu acha kuchanganya muumba na viumbe vilivyoasi.Kaka huyo ni SHEITWAAANI!!
Soma uislamu uelewe.Mtume Muhammad hana ugomvi na Yesu.Mtume Muhammad ni Mtume wa Allah na na Yesu ni Nabii wa Allah.Hawana ugomvi.Tatizo lako wachanganya mambo katika uislamu.Hakuna mahali Mtume Muhammad na Yesu watapigana.Wewe acha umbayuwayu!
Lini atakufa na atakufa kwa lipi?
Au mnasubiri the second coming of Muhammad(Mahad) kujapigana na Yesu?
Hivi wewe kwa akili yako hayo aliondika Biblia walikuwa waswahili?Kina Mathayo na wezake hawakuwa waswahili.Hiyo Biblia ya kiswahili imetafsiriwa kutoka Biblia ya kiingereza,nayo ilitafsiriwa kutoka ya Kigiriki,nayo ilitafisiriwa kutoka kiyunani,nayo ilitafsiriwa kutoka kiebrania(lugha ya waandishi wa Biblia.Unayo hiyo Bibilia?
Na je lugha hiyo ya asili ni ipi?
Sema umejuaje/nani kakwambia hayo?
Duniani kote, wapagani ni waelewa sana kuliko wafia dini. Wafia dini wengi wao ni mbumbumbu maana kila wakiambiwa jambo na mchungaji wao basi hufanya bila kupinga. Moja ya mambo hayo ni pamoja na kuamrishwa either kutoa pesa/sadaka kubwa beyond their capacities na mengine mengi. Katika hali ya kustaajibisha waumini wa kanisa hili hubatizwa sio kwa maji Bali kwa viboko. Yaani badala ya kumwagiwa maji unatwishwa bonge la kiboko. Jionee mwenyewe kwenye video hapo chini.
Mengine haya hapa. Mchungaji awataka waumini wavue nguo kisha wajichue ili wapokee baraka.
AFRIKA KUSINI : Nabii awanywesha waumini kemikali ya kusafishia injini, adai inaponya.
Mchungaji awanywesha waumini dawa ya kuua bacteria(dettol)
ZIMBABWE: Nabii awauzia waumini matango, adai yana upako
Ukipitia hizi thread utagundua kuwa wafia dini ni wajinga kuliko wapagani. Mpagani hawezi kufanya huu upuuzi. Wengi wa wafia dini ni wasomi na wenye pesa zao na wachache wasio na pesa za kutosha. Angalia magari yanavojazana maeneo ya makanisa siku za ibada.
Waumini na wafia dini mbadilike. Wenzen wanatajirika nyinyi mnaishiwa hata kile kidogo mlicho nacho.
Kaka huyo ni SHEITWAAANI!!
Imeandikwa wapi muda wa Yesu kufa haujafika.Wewe ndio kilaza,uwelewaji wako mdogo.Qur'an iloshasema hakuna ktakochabaki hai.Kila kilichoumbwa kitakufa.Yesu pia atakufa,ila mda wake bado,ukifika atakufa.
John:20:17Imeandikwa wapi muda wa Yesu kufa haujafika.
Unausoma wapi uislam?Soma uislamu uelewe.Mtume Muhammad hana ugomvi na Yesu.Mtume Muhammad ni Mtume wa Allah na na Yesu ni Nabii wa Allah.Hawana ugomvi.Tatizo lako wachanganya mambo katika uislamu.Hakuna mahali Mtume Muhammad na Yesu watapigana.
Katika uislamu,siku Yesu alipokuwa anataka kusulubiwa,aliomba kwa Mungu,amuepushe na kikombe kile cha umauti.Aliomba sana.Mungu akamkubalia ombi lake,akamuokoa kumchukuwa mbinguni,hawakumsulubu wala hawakumuuwa,hayo ndio maelezo ndani ya Qur'an.Fikiria ikiwa Yesu,aliomba kikombe cha kifo kimuepuke na Mungu hakumkubalia,kwa nini asimkubalie?Kumbuka Yesu aliomba sana.Na aliyoko mbinguni hai si Yesu tu,hata Enock,ambaye alichukuliwa na upepo wa kisuli suli(naye pia wakati wake ukifika atakufa).Yaonyesha Biblia husomi na Qur'an unaitafuta kwenye website za maadui wa uislamu.Wanaopindisha ukweli.Katika uislamu sahihi hakuna mtu anayesubiriwa anayeitwa Mahad,hizo ni itikadi za wasio waislamu,wakajiita waislamu.Nina hakika itakuwa wafunguwa website zinazoanzishwa na wasiokuwa waislamu,wakajifanya ni website za uislamu.
Ni sawa muislam,afunguwe website ya Mormonism,kutafuta habari za ukristo.Kwa asiye jua ataona Mormonism ni wakristo wana musmini Yesu,lakini kumbe wako tofauti sana na ukristo.
Soma hapo nimekuandikia,wataka usome wapi tena.[emoji115]Unausoma wapi uislam?
kwa lugha gani ili nielewe?
wapi imeandikwa Yesu ni Nabii wa Allah na Muhammad mtume wa Allah?
Muhammada hana ugomvi na Yesu ama Issa?
sasa hapo alikuwa ametoka wapi?ikiwa umetuambia Mungu alimtorosha asiuwawe?John:20:17
"Yesu akamwambia usinishike sijakwenda bado juu kwa Baba.Lakini nenda kwa ndugu zangu uwaambie:nakwenda kwa Baba yangu na Baba yenu,Mungu wangu na Mungu wenu".
Kitabu gani hiki ulichotumia kuuleta huu ushahidi wako?John:20:17
"Yesu akamwambia usinishike sijakwenda bado juu kwa Baba.Lakini nenda kwa ndugu zangu uwaambie:nakwenda kwa Baba yangu na Baba yenu,Mungu wangu na Mungu wenu".
The book of JohnKitabu gani hiki ulichotumia kuuleta huu ushahidi wako?
Nisaidie kunifafanulia kuwa mtume ndo kaiua sayansi na sayansi ipi iliibwa misri?Mtume kazaliwa kayakuta hayo yote yapo, ni uvivu wako tu wa kusoma, wewe umekaa na kitabu kimoja tu tena unasomewa na kutafsiriwa na viongozi wako
na pia ukae ukijua Mtume ndio kaja kuiua kabisa Sayansi ya Waarabu waliyoiiba kule kwa watu weusi wa Misri, Sudan na Ethiopia,
Wewe unachokiamini ndicho wanazuoni walipokuwa wanawakataza Wanasayansi wasiangaike kufanya tafiti zao za Kisayansi kwani Sayansi yote iko ndani ya Quran, watu wakaacha kufanya tafiti wakaanza kujikita kwenye kuitafuta sayansi kwenye Quran na mwisho wake ndio ikaiua kabisa Sayansi hiyo ya Mwarabu
Sayansi yote ya Dunia iko ndani ya Mapiramidi na mapango ya huko Misri, kila kitu kimo humo
Kwahiyo technology yote iliyopo ni ileile iliyokuwa awaliTeknolojia duni hipi unayoizungumzia?
Mpaka leo Dunia inajiuliza hayo Mapiramidi ya Misri yalijengwaje imebakia dhana tu
Mapharao walikufa maelfu ya miaka lakini Mapaka leo mabaki yao ya soft na hard tissue yapo, wewe unataka science na teknolojia hipi?
Usiseme tu toa na uthibitisho!View attachment 454967
Mtume kaja juzi tu ndio akawapa Waarabu ustaarabu wa kupata tohara kwa wanaume, miaka maelfu yaliyopita Watu weusi wa Misri, Sudan na Ethipoia walikuwa wanapeana Tohara