Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Léonard de vinchi alidesign mchoro wa ndege before Christ, Archimedes ndo aliye gundua sheria za vitu kuelea eg ships, boats, balloon, ndege, n'a aligundua mizan or levers huyu aliishi before Christ ....zipo facts nying San znaprove
 
Tatizo una panic kama utaki kua Quran imetaja vingi na science ya leo ime kuja kuvivumbua mfano miaka ya kina Albert ndo wamekuja kujua mambo ya black holes space and time ila kumbe vilikuwepo kwenye kitabu na Mungu kaeleza 1400 iliopita asa una bisha nini, umeomba ya pharaoh hio hapo aya ya kuifadhiwa kwake kama fundisho ili nyie leo mnaokufuru muogope. mpate pakujifunzia What, now! When previously you rebelled and were one of the corrupters? Today we will preserve your body so you can be a Sign for people who come after you. Surely many people are heedless of Our Signs." (Qur'an, 10:91-92)

Mkuu acha kuota...Mohamed kajulia wapi Black Holes?Acheni kuota..

Nipe mistari yake na ka-define blackhole kama nini?Ka-develop equations pertaining blackholes?Mbuzi wa maziwa kabisa...unafikiri ni kazi ya kitoto kama kufundisha dini ambayo ji vitu vya uongo A to Z?Hebu acheni kujidhalilisha,jikiteni kwenye dini acheni kujifanya wanasayansi,mnazidi kujidhalilisha kabisa.
 
Mtume kazaliwa kayakuta hayo yote yapo, ni uvivu wako tu wa kusoma, wewe umekaa na kitabu kimoja tu tena unasomewa na kutafsiriwa na viongozi wako
na pia ukae ukijua Mtume ndio kaja kuiua kabisa Sayansi ya Waarabu waliyoiiba kule kwa watu weusi wa Misri, Sudan na Ethiopia,

Wewe unachokiamini ndicho wanazuoni walipokuwa wanawakataza Wanasayansi wasiangaike kufanya tafiti zao za Kisayansi kwani Sayansi yote iko ndani ya Quran, watu wakaacha kufanya tafiti wakaanza kujikita kwenye kuitafuta sayansi kwenye Quran na mwisho wake ndio ikaiua kabisa Sayansi hiyo ya Mwarabu

Sayansi yote ya Dunia iko ndani ya Mapiramidi na mapango ya huko Misri, kila kitu kimo humo
Kudos, Hata mapyramids yenyewe ni Sayansi tosha, unawezaje jenga bila crane? Ni miracle.
 
Bible enyewe ina makosa kibao hadi basi na bible imekua proved wrong saana. bible enyewe ilikua ile angano la kwanza tena ile kidogo maana ilitiwa maneno ya watu.

Vitabu vyote vya dini biblia,quran,Gita,etc ni uchafu mtupu....remove all of them on this planet earth...

Yaani majitu yanadanganya wazi wazi kabisa...these are the most stupidest books ever made...walioviandika huyo Mungu wanamsema atakua anawachoma moto as we speak,huwezi danganya the entire humanity for ten of thousands of years and still years to come...
 
Na nyie wanafizikia mkitulazimisha tuamini fizikia yenu kwa kutulazimisha tukikatae kitabu chetu huoni unatukosea heshima
Sas usidanganye uma danganya muislam mwenzako ambaye hajasoma physics, Fizikia unaposema technologie y'a Léo huwa tunasoma nani alieanza kufkir ndo tunaendelea
 
Kwani umelazimishwa uamini kama huamini potezea sio na wewe udanganye watu eti sisi wanasayansi
 
Sas usidanganye uma danganya muislam mwenzako ambaye hajasoma physics, Fizikia unaposema technologie y'a Léo huwa tunasoma nani alieanza kufkir ndo tunaendelea
Kwani umelazimishwa uamini kama huamini potezea sio na wewe udanganye watu eti sisi ni wanasayansi
 
Umesema kuhusu Tissue za Mafarao. Sasa yule Farao wa Misri aliomsumbua Sana Mussa na wana wa Israel. QURAN imesema mwili wake utahifadhiwa. Wala hautooza ili iwe fundisho kwa vizazi vijavyo. Na ndio maana mpaka leo ukienda Misri utaukuta mwili wake na ndani ya mwili wake kuna organs zote kama moyo, mapafu , utumbo nk. Heby jiulize toka Enzi za Mussa mpaka leo ni miaka Mingapi?

Quran inasema hivi:-
10:90-92
90.
Tukawavusha bahari Wana wa Israili, na Firauni na askari wake wakawafuatia kwa dhulma na uadui. Hata Firauni alipo kuwa anataka kuzama akasema: Naamini kuwa hapana mungu ila yule waliye muamini Wana wa Israili, na mimi ni miongoni mwa walio nyenyekea!

91.
Ala! Sasa? Na hali uliasi kabla yake na ukawa miongoni mwa mafisadi!

92.
Leo, basi, TUTAKUOKOA KWA MWILI WAKO, ili uwe ISHARA kwa ajili ya walio nyuma yako. Na hakika watu wengi wameghafilika na Ishara zetu.
Qur'an imekuja tayari huo mwili upo ntajie
 
Kwa hiyo tuseme yesu hakutahiriwa????[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] nauliza 2
Inaonyesha ata Qur'an husomi umujui Yesu katika Qur'an soma kapembue yakinifu......Biblia inaelezea tohara tangu enzi za Musa
Note: Qur'an imekopi maandiko ya biblia kwaiyo mtume alikopi tamaduni za wa israeli zilizoko kwenye biblia km tohara
 
Waislam wanajaza vi Thread vya udini humu ndani Wanasema vtu ambavyo havna proof, acheni Hyo tabia y'a udini, musijifanye ndo mnakubaliwa au watiifu mbele Zake Mungu au mnazan kati ya watu bilion 8,waislam bilion 1.5 ndo mumechaguliwa n'a Mungu its nonsense koo watu billion 6.5 ambao sio waislam hawaioni popo ??? Acheni kukalili maandishi Munajiita wenye haki kwa maandishi yenu, Mungu hajatamk kuwa amemchagua nani duniani acheni iyo tabia y'a udini
 
Kuna mbingu saba kwenye universe kweli?Mtume muongo na amefeli kama walivyo wenzake akina Yesu na Saibaba nk...mtu sio mwanasayansi anajifanya anajua sayansi,what a shame to mtume...

Yaani wanadamu sijui lini tutakataa kudanganywa na mmoja wapo wa wanaadamu wenzetu eti anajifanya kuna "mungu" somewhere kampa "maono".

Uwongo uwongo tu!
Sayansi yako imeshindwa ku prove mechanisms zilizomfanya Yesu, atembee juu ya maji, afufuke, apae, afunge cku arobaini, e.t.c imeshindwa ata ku prove chombo cha mbao kikubwa safina (sio mtumbwi au mashua huenda km meli lkn cha chao) kilielea juu ya maji

Science is nothing without God go n review articles!
 
Sayansi yako imeshindwa ku prove mechanisms zilizomfanya Yesu, atembee juu ya maji, afufuke, apae, afunge cku arobaini, e.t.c imeshindwa ata ku prove chombo cha mbao kikubwa safina (sio mtumbwi au mashua huenda km meli lkn cha chao) kilielea juu ya maji

Science is nothing without God go n review articles!
Hao wanajifanya wanasayansi kwenye hii thread sio lolote ni wakristo wanautukana uislam kwa mgongo wa sayansi
 
Back
Top Bottom