Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Tatizo ana kurupuka hana hoja ana copy kwenye google. science enyewe imekuja kugundua juzi juzi kua nyuki mwanamke ndo anae tengeneza asali na sio dume. anaonesha picha za nyuma watu na activity zao ila walikua awajui ni jike ndo mtambo mzima wa mapishi.

Kaka hivyo vyote vilikuwa vinajulikana
 
Braza nenda shule tena kasome upya. Utachekwa
wewe ndo utachekwa hivi kwa akili yako tukuchukue wewe upewe range ya 2016 tukurudishe miaka 1400 na range yako unadhani watakuacha kukushanga kisa science yao iko juu lazima wakuone wajaabu umekuja nakitu gani hiki so science is dynamic and not static asa wewe kaa hivyo hivyo. generation nyingine ikija kama tano mbele yetu wakija kutusoma tulikua tuna tumia internet wata shanga watushanga kua awa science yao ilikua chini kawaida.while miaka yao wanatumia zaidi ya internet.
 
Tatizo ana kurupuka hana hoja ana copy kwenye google. science enyewe imekuja kugundua juzi juzi kua nyuki mwanamke ndo anae tengeneza asali na sio dume. anaonesha picha za nyuma watu na activity zao ila walikua awajui ni jike ndo mtambo mzima wa mapishi.
Hili niswali ndogo tu nimemuuliza kati ya maajabu yaliotajwa katika Qur'an.Je ningemuuliza makubwa zaidi.Kwa mfano ncha za vidole havifanani.Ni Qur'an ndio ya kwanza kutaja kutofanana kwa ncha za vidole.Ndio wanasayansi wakaanzisha FINGER PRINT.Fingerprint Qur'an 75:3-4 Surat Al Qiyamah .
Wataalam wa alama za vidole (finger prints) leo hii wanatueleza kuwa kila binadamu anazo zake ambazo ni tofauti na mwenzake,yaani hata mapacha wanaofanana (indetical twins)wanatofautiana kwa hili.
 
tatizo una mbio kuliko haraka, so thread vizuri ime wekwa facts na link watu wame share humo hicho unacho uliza na kime jibiwa vizuri, na hadi makosa ya bible kwa science mengi yame wekwa wazi.
 
Tuo

Tuonyeshe huyo aliyetajwa kwenye Quran, umeshawahi kumwona?

Usiwe mtumwa wa kujinyima elimunkwa kungangania hicho kitabu chako pekee, hii dunia ilishafika mbali sana Kimaendeleo ya Kitabibu, Kisayansi, na Kiutamaduni

Soma soma soma kaka
Hata aliyetajwa kwenye Quran hamjui, hajui hata jina lake.
 
Hili niswali ndogo tu nimemuuliza kati ya maajabu yaliotajwa katika Qur'an.Je ningemuuliza makubwa zaidi.Kwa mfano ncha za vidole havifanani.Ni Qur'an ndio ya kwanza kutaja kutofanana kwa ncha za vidole.Ndio wanasayansi wakaanzisha FINGER PRINT.Fingerprint Qur'an 75:3-4 Surat Al Qiyamah .
Wataalam wa alama za vidole (finger prints) leo hii wanatueleza kuwa kila binadamu anazo zake ambazo ni tofauti na mwenzake,yaani hata mapacha wanaofanana (indetical twins)wanatofautiana kwa hili.

Msijinyime elimu, muwe mnasoma na elimu za wengine, msinganganie tu Quran: sasa kuna internet ambayo mnaweza kutafuta vitu mbalimbali na kujisomea ili mpate elimu zaidi ya mliyonayo,

Tafuteni hii kitu mpate Elimu,

"In ancient Babylon, fingerprints were used on clay tablets for business transactions.Chinese records from the Qin Dynasty (221-206 BC) include details about using handprints as evidence during burglary investigations."
 
Image zake ndio hizo,

image.jpg
 
Tatizo kubwa mnaleta vitu ambavyo vimeandikwa juzi juzi Tunataka rejea kutoka kitabu chenye miaka zaidi ya miaka ya Quran.Hayo yalipndikwa hapo hayana chanzo cha rejea.Weka chanzo cha rejea,chenye miaka kupita miaka ya Qur'an.
 
We kweli mgumu, jiachie kaka, yaani utataka kusema leo kikionekana kitabu cha miaka 3000 iliyopita kinachoelezea habari za jetfigheter utakikataa?,
Hiyo habari haijaandikwa juzi, history ipo kuwa wachina na Babylon wa zamani walitumia hiyo elimu ya Fingerprint ambayo ndio Muhammad alipoitoa na kuandika kwenye Quran, sasa unachokataa ni nini?
 
Hivi ni vyanzo vya juzi tu,toa kitabu chenye miaka zaidi ya Qur'an.
hahaha hana hoja huyo, acha kusumbuka kutafuta tatizo huto ona ma proffessor wazima wameumbuliwa na sheikh wakawaida wenywe wametulia achana na hi elimu nikitu kingine. Dr naik alifanya mdahalo wa Quran and bible kwenye science jamaa alichemka live kakoselewa hadi aibu sembuse wewe!!!! 😀
 
Hivi ni vyanzo vya juzi tu,toa kitabu chenye miaka zaidi ya Qur'an.

Kaka vyanzo vya juzi kivipi?, ina maana hiyo technolojia imetumika juzi?, technolojia imetumika miaka 200 kabla ya Kristo, miaka karibu 900 kabla ya Muhammad wewe unasema juzi?
 
We kweli mgumu, jiachie kaka, yaani utataka kusema leo kikionekana kitabu cha miaka 3000 iliyopita kinachoelezea habari za jetfigheter utakikataa?,
Hiyo habari haijaandikwa juzi, history ipo kuwa wachina na Babylon wa zamani walitumia hiyo elimu ya Fingerprint ambayo ndio Muhammad alipoitoa na kuandika kwenye Quran, sasa unachokataa ni nini?
Taja kitabu kilichoandika historia hiyo,tuone kina miaka mingapi?Huyo Muhammad hakuwahi kuishi china wala hajui kichina.Wala kwenda China.
Taja kotabu kilichotaja habari hiyo,kipite kitabucha Qur'an kilichoandikwa miaka 1400 iliyopita
 
Kaka vyanzo vya juzi kivipi?, ina maana hiyo technolojia imetumika juzi?, technolojia imetumika miaka 200 kabla ya Kristo, miaka karibu 900 kabla ya Muhammad wewe unasema juzi?
Nafikiri hatuelewani,taja kitabu kilichoandika hayo,na kitabu hicho kiwe na miaka kupita Qur'an.
 
Taja kitabu kilichoandika historia hiyo,tuone kina miaka mingapi?Huyo Muhammad hakuwahi kuishi china wala hajui kichina.Wala kwenda China.
Taja kotabu kilichotaja habari hiyo,kipite kitabucha Qur'an kilichoandikwa miaka 1400 iliyopita

Wewe unafikiri Muhammad alikuwa hajui kuwa China wana elimu kubwa kuliko iliyokuwa hapo Uarabuni? Yeye alikuwa mfanya biashara na alikuwa anakutana na watu wa kila aina, na wala si ajabu alishawahi fanya biashara na hao wachina wakamsainisha kwa Fingerprint
 
Nafikiri hatuelewani,taja kitabu kilichoandika hayo,na kitabu hicho kiwe na miaka kupita Qur'an.

Kaka onyesha kama mwelewa ndugu yangu, nimekuwekea maelezo na pia nimekuwekea picha, hivi nikikupa kitabu kilichoandikwa kichina utaelewa?

Kingine cha muhimu kuzingatia, kuna mambo yanafanyika kama utaratibu na pengine hayajaandikwa kokote lakini yanafanyika na ushahidi wa kufanyika kwake upo

Basi yatosha kwa wewe kufahamu kuwa kabla ya Yesu na Muhammad, technolojia ya fingerprint ilikuwepo na ilikuwa inatumika kwenye kusaini mikataba mbalimbali ya kibiashara na pia katika kuchunguza uhalifu
 
Wewe unafikiri Muhammad alikuwa hajui kuwa China wana elimu kubwa kuliko iliyokuwa hapo Uarabuni? Yeye alikuwa mfanya biashara na alikuwa anakutana na watu wa kila aina, na wala si ajabu alishawahi fanya biashara na hao wachina wakamsainisha kwa Fingerprint
Nafikiri umenielewa.
 
sija sema havikuwepo vilikuwepo ila 1400 iliopita technology ilikua duniiiii saaana tuseme kulikua hakuna ila technology ya sasa ndo wamekuja kuvigundua.
asante kwa hii ilmu adhimu.niambie kitu kuhusu black holes na singularity,mtume aliyaongeleaje haya? natanguliza shukran
 
Back
Top Bottom