Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

duh tufanye umeshinda basi maana naona una kazana kutafuta kasoro na una hata moja. kila mtu habaki na dini yake.
Aya kuhusu kuwanyonyesha wanaume watu wazima Mara 10 ili wawe makaka msitamaniane kimapenzi ililiwa na Mbuzi wa Aisha pamoja na ile ya wazinzi kupigwa mawe.
Sio ajabu ukawa hujui. Maana dini ya mapoyoyo
 
Kwahiyo Allah anapendelea!
amekupendelea wewe akakupa pumzi na vidole ukaweza ku type ujinga kama huo, na neema zigine kama macho, pua, mikono, miguu na mengine ambavyo wenzio hawana. na bado ukawa hai ukaendelea kukufuru na ukijua kosa lako na ukatubu anakusamehe pia. ila kuna wengine hawana bahati hio kama yako una mka asubuhi chai mtihani ila ume weza ku log in na kuandika pumba. bless you.
 
Aya kuhusu kuwanyonyesha wanaume watu wazima Mara 10 ili wawe makaka msitamaniane kimapenzi ililiwa na Mbuzi wa Aisha pamoja na ile ya wazinzi kupigwa mawe.
Sio ajabu ukawa hujui. Maana dini ya mapoyoyo
Afadhali ungekaa kimya,kuliko kuandika ujinga.
 
109 - AL - KAFIRUN

KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.
1. Sema: Enyi makafiri!
2. Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.

Naomba tuishie hapa hoja hamna. ka kimya
 
Afadhali ungekaa kimya,kuliko kuandika ujinga.
Natambua ukweli kuwa kwa makafir wanaomwabudu Allah aliyekarabatiwa kutokana na Allah moon god Mkuu wa miungu ya Makuraish ya Alkaaba
Chochote kisichokuwa kumwifia Allah na Mtengenezaj wake Muhammad kinaitwa ujinga.
Kuwa na amani
 
Tumia akili,iweje nchi aliyozaliwa Yesu ya Israel,ana wafuwasi wachache,ukiangalia Israel,wayahud amabao ndio ndugu na Yesu hawamtambui kama alikuwako.Idadi ya watu katika dini,kwanza na wayahudi,wakifuatia waislamu na mwisho ni wakristo na dini ndogo ndogo ndogo.Tafakari chukuwa hatua.
 
Kwa nini Yesu,hatambuliki nchi aliyozaliwa ya Israel?Alikozaliwa na kukulia na kutangaza ukristo(kama kweli alileta ukristo),hana wafuasi wa alchokitangaza,zaidi ya kuona katika mji huo kuwa na dini ya kiyahud na kufuatiwa na uislamu,wakristo wa kihesabika ni "minority".?
 
Tumia akili,iweje nchi aliyozaliwa Yesu ya Israel,ana wafuwasi wachache,ukiangalia Israel,wayahud amabao ndio ndugu na Yesu hawamtambui kama alikuwako.Idadi ya watu katika dini,kwanza na wayahudi,wakifuatia waislamu na mwisho ni wakristo na dini ndogo ndogo gongo.Tafakari chukuwa hatua.
Muhammad alianza kuswali kwa kuangalia Jerusalem ili kuwaingiza mkenge Wayahudi wamwamini kuwa ni mtume wa kweli kwa Mungu wanayemwabudu. Baada ya kuona kuwa hawadqnganyiki ndipo akageukia Alkaaba madhabahu ya Allah wake Mkuu wa Miungu ya Kipagani ya Makka ili kuwateka na akafanikiwa kuwapora Mungu wao na Madhabahu yao Alkaaba.
Uwingi wa Waislam Israel ni kwa kuwa upanga ulitumika kuupeleka Uislam kule.
Bado hiyo siyo hoja ya kumfanya Mumgu feki wa Makuraish awe ni mwenyezi Mungu.
Kafir mkubwa usiyejielewa wewe
Once a fake God always a fake God
Hata kama alikarabatiwa kuondolewa wasaidizi wakena mabint zake Al uzza, Al Lat na Manat bado ni fake God
 
Huko Israel,alikozaliwa Yesu,baada ya wayahudi,dini ya pili ni uislamu.Wakristo ni 2.1%.Utasemaje Mtume Muhammad alishindwa kuwaingiza waisrael katika uislamu.Wakati nchi aliyozaliwa ya Saudia ni waislamu 100%,lakini alikozaliwa Yesu wakristo ni 2.1% nani sasa aliyeshindwa kuwaingiza watu wake katika dini aliyoitangaza.100% na 2.1%,tofauti kubwa sana.Mpaka nchi ya jirani ya Palestina kutoka Israel,waislamu ni 85%,wakifuatiwa na wakristo na dini nyingine ndogo ndogo.Wakati Mtume Muhammad majirani zake wote ni kuanzia 100% mpaka 98% hajavuka hapo.Tafakari uchukiwe hatua.
 
hahaha bibilia hippi agano la kale au la sasa? maana mna vitabu vingi kila kukicha mna edit, Quran tangu 1400 iko vile vile na vitu vingi vimekua proved scientifically. basi hata bible ime copy kwenye vitabu vya nyuma
Je, sayansi imewahi kuprove uwepo wa Mungu? Maana nalo lipo Kwny Quran, au humaanishi kuwa kila alichosema mtu kipo justifiable scientically?
 
Kwa nini Mtume Muhammad aliweza kukubalika katika nchi aliozaliwa 100%.Wakati Yesu katika nchi aliyozaliwa amekubalika 2.1%.?Na hao 2.1% sio wenyeji wa nchi ya Israel ni wageni.Waisrael hawamtambui kabisa kama kulikuwa na mtu anayeitwa Yesu,lakini Mtume Muhammad anatambulila alikozaliwa na ni 100% ya kabila lake na majirani wa eneo hilo.
 
Huko Israel,alikozaliwa Yesu,baada ya wayahudi,dini ya pili ni uislamu.Wakristo ni 2.1%.Utasemaje Mtume Muhammad alishindwa kuwaingiza waisrael katika uislamu.Wakati nchi aliyozaliwa ya Saudia ni waislamu 100%,lakini alikozaliwa Yesu wakristo ni 2.1% nani sasa aliyeshindwa kuwaingiza watu wake katika dini aliyoitangaza.100% na 2.1%,tofauti kubwa sana.Mpaka nchi ya jirani ya Palestina kutoka Israel,waislamu ni 85%,wakifuatiwa na wakristo na dini nyingine ndogo ndogo.Wakati Mtume Muhammad majirani zake wote ni kuanzia 100% mpaka 98% hajavuka hapo.Tafakari uchukiwe hatua.
Njia ya uzimani ni nyembamba na wapitao ni wachache wakati njia ya upotevuni ni pana na wapitao ni wengi.
Acha maneno elewa Allah is a fake extracted from Kuraish pagan God

Acha ujinga wako
 
Je, sayansi imewahi kuprove uwepo wa Mungu? Maana nalo lipo Kwny Quran, au humaanishi kuwa kila alichosema mtu kipo justifiable scientically?
Sayansi haijifanyi yenyewe bila wanasayansi,wanasayansi wengi wanaamini uwepo wa Mungu.Na wanasayansi idadi kubwa ni watu wa dini.Lazima kwanza ujuwe hivyo.
 
Njia ya uzimani ni nyembamba na wapitao ni wachache wakati njia ya upotevuni ni pana na wapitao ni wengi.
Acha maneno elewa Allah is a fake extracted from Kuraish pagan God

Acha ujinga wako
Kwa hiyo umekubali kama ameshindwa kuwaokowa wengi,mpaka akaweka njia nyembamba.Ikiwa lengo ni kuwaokowa watu,ili wapite salama unaweka daraja nyembamba,hapo panatia shaka.Kumbe njia nyembamba kwa nini mwawatangazia watu waingie mahali pembamba.
 
Kwa nini Mtume Muhammad aliweza kukubalika katika nchi aliozaliwa 100%.Wakati Yesu katika nchi aliyozaliwa amekubalika 2.1%.?Na hao 2.1% sio wenyeji wa nchi ya Israel ni wageni.Waisrael hawamtambui kabisa kama kulikuwa na mtu anayeitwa Yesu,lakini Mtume Muhammad anatambulila alikozaliwa na ni 100% ya kabila lake na majirani wa eneo hilo.
Ficha upoyoyo wako Muhammad hajawahi kukubalika hata na wake sake sembuse watu.wa maeneo aliyoishi. Alikuwa anatumia jambia ili kuwafanya watu wamkubali lqkini hakuwa na uehawishi wa hoja.
Labda kama hujui kuwa Israel ni Taifa ,Jamii na dini pia.
Hivyo kusema Jews wamkubali Yesu unakuwa na akili iliyovia kwa kuwa Jews kama dini wanayo misingi yao wanayoifuata. Sio kama Waislam wanaojiegesha kwa Yesu kupitia Kikaragosi chao Isa ili wakubarike na Wakristo.
 
True very very true kwanza angetakiwa ajue kwamba uislam ulianza c baada ya muhammad bali ulianza na adamu mtume wa kwanza
Adam alikuwa mtume? Alitumwa kwa nani ilihali yeye ndo binadamu wa kwanza? Pia tunajua Adam aliumbwa pure (mtakatifu) kabla hajaasi, why was he to submit himself to Allah as the Quran says? Au labda kwa mujibu wa Quran wanadamu wameumbwa wakiwa na dhambi tyr ndo mana walipaswa kujisubmit tu Allah? Na ikiwa waliumbwa pure, je, Mungu hakuwa nao karibu km tusomavyo Kwny Bible?
 
Kwa hiyo umekubali kama ameshindwa kuwaokowa wengi,mpaka akaweka njia nyembamba.Ikiwa lengo ni kuwaokowa watu,ili wapite salama unaweka daraja nyembamba,hapo panatia shaka.Kumbe njia nyembamba kwa nini mwawatangazia watu waingie mahali pembamba.
Kichwa cha panzi. Umeambiwa nyembamba kukufanya wewe ushindwe kupita ? Wewe umechagua kuabudu Allah Moon god Mkuu wa miungu ya Alkaaba kwa kuwa amekupa ahadi ya ngono ya kudumu peponi na wajinga wengi wanafuata hivyo njia hiyo ni pana sana

Ficha uzwazwa wako.
Jews ni dini kamili
 
Hili swali la Yesu ndani ya nchi ya Israel,alikozaliwa,na kukulia na kutangaza ukristo(kama aliutangaza).Kwa nini nchi hiyo mpaka leo ni nchi ya Kiyahudi 78%,wakifuatiwa na waislamub16% halafu ndi ukristo 2.1%,na dini nyingine ndogo bdogo.Na hao wakristo walioko hapo sio wenyeji wa Israel ni wahamiaji.Wakati Mtume Muhammad,nchi aliyozaliwa na kukulia,waislamu ni 100% na majirani pia wa nchi hio,hawashuki 98% ya waislamu.Ukipata wakristo maeneo ya jirani ni wageni sio wenyeji,wazaliwa.Sikajibiwa mpaka leo.
 
Kwa hiyo umekubali kama ameshindwa kuwaokowa wengi,mpaka akaweka njia nyembamba.Ikiwa lengo ni kuwaokowa watu,ili wapite salama unaweka daraja nyembamba,hapo panatia shaka.Kumbe njia nyembamba kwa nini mwawatangazia watu waingie mahali pembamba.
Alikuja kwao waliowake hawakumpokea Bali waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika wana na ndio sisi tuliaminio Jina la Yesu Kristo.

Umeelewa Kafir muabudu miungu wewe ?
 
Hili swali la Yesu ndani ya nchi ya Israel,alikozaliwa,na kukulia na kutangaza ukristo(kama aliutangaza).Kwa nini nchi hiyo mpaka leo ni nchi ya Kiyahudi 78%,wakifuatiwa na waislamub16% halafu ndi ukristo 2.1%,na dini nyingine ndogo bdogo.Na hao wakristo walioko hapo sio wenyeji wa Israel ni wahamiaji.Wakati Mtume Muhammad,nchi aliyozaliwa na kukulia,waislamu ni 100% na majirani pia wa nchi hio,hawashuki 98% ya waislamu.Ukipata wakristo maeneo ya jirani ni wageni sio wenyeji,wazaliwa.Sikajibiwa mpaka leo.
Alikuja kwao waliowake hawakumpokea Bali waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika wana wa Mungu na ndio sisi tuliaminio Jina la Yesu Kristo.Umeelewa Kafir muabudu miungu wewe ?
 
Back
Top Bottom