mmubiayi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2008
- 409
- 267
Shetani na nabii wake ndiye anawaingiza kwenye uislamu siyo Mungu, sababu anataka wote muangamie na moto.Mpaka leo mwadanganywa kama uislamu ulienezwa kwa upanga.Iweje mtu mmoja anayeitwa Muhammad,awashinde mabilioni ya watu ulimwenguni,kwa kuwaingiza katika uislamu.Na mtu huyu amekuja miaka mingi imepita tangu Yesu aje.
Njia ambayo inaongoza katika uzima wa milele ni nyembamba na wachache ndiyo wataiona (Mathayo7:14)