Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

Mpaka leo mwadanganywa kama uislamu ulienezwa kwa upanga.Iweje mtu mmoja anayeitwa Muhammad,awashinde mabilioni ya watu ulimwenguni,kwa kuwaingiza katika uislamu.Na mtu huyu amekuja miaka mingi imepita tangu Yesu aje.
Shetani na nabii wake ndiye anawaingiza kwenye uislamu siyo Mungu, sababu anataka wote muangamie na moto.
Njia ambayo inaongoza katika uzima wa milele ni nyembamba na wachache ndiyo wataiona (Mathayo7:14)
 
Ikiwa wakristo walikuliwa Maka,na hapa Israel na nchi nyingine za kiarabu pia waliuliwa?Kwa mashariki ya kati nchi ni nyingi sio Saudi Arabia.Unadanganywa ukadanganyika.
We msukule,nimekupa mifano namna ibilisi alivyofanikiwa kueneza dini yake kwa kuwafisadi Wakristo duniani
Wataka utakiwe kila taifa wakati nakupa mifano hai. Makka kulikuwa na wakristo kabla ya Uislam hujuma imewamaliza sawa na maeneo mengine mengi yenye waislam duniani
Kafir we hufundishilki Allah kaharibu kabisa uwezo wako wa kuelewa hata mambo madogo madogo kama haya ?
 
Shetani na nabii wake ndiye anawaingiza kwenye uislamu siyo Mungu, sababu anataka wote muangamie na moto.
Njia ambayo inaongoza katika uzima wa milele ni nyembamba na wachache ndiyo wataiona (Mathayo7:14)
Kwa hiyo basis ukristo haukuja kumkomboa binadamu,inataka wachache tu,faida iko wapi ya hao wachache.Na huku kwingine mwasema mko wengi,hapa waaema wachache,tushike wapi.Funua ubongo,upate maarifa.
 
Ni vichekesho sana,waisrael,wasijuwe hiyo njia ya uzima,kwa kupitia ndugu yao Yesu uijuwe wewe,usiyekuwa na hata na uhusiano na nchi za mashariki ya kati.
 
Wacha kudanganywa ukadanganyika,vita vya zamani ni upanga,hakuna mabomu.Mtume Muhammad mmoja,azunguke na upanga nchi zote,auwe mamilioni ya watu,hata kama walikuwa Muhammad mia,wangeshindwa tu.Na kama waliuliwa hawa ambao ni waislamu ,walitoka wapi,kama wakristo waliuliwa.Tumia akili,usikaririshwe.
 
Hizi akili za kudanganywa ukadanganyika,ziache.Vita vya zamani ni upanga,mwenye upanga apigane,auwe watu,wengine wamwangalie tu.Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake.
 
Alikozaliwa Yesu wakristo 2.1%,kwa nini,na hiyo nchi inatawaliwa na dini ya kiyahudi isiyomtambuwa Yesu.Na wayahudi wako 75.4% wakifuatiwa na waislamu 16.9%
Wakifuatiwa na Druze 4%
Mwisho ndio ukristo 2.1%
Na waliobakia ni dini nyingine dogodogo.
Default position
Kawaida yenu misukule ninyi
 
Mfano wa maji ya chumvi na matamu aya changanyikani, quran 25.53: And He it is Who has made two seas to flow freely, the one sweet that subdues thirst by its sweetness, and the other salt that burns by its saltness; and between the two He has made a barrier and inviolable obstruction.
God's creation
 
Hizi akili za kudanganywa ukadanganyika,ziache.Vita vya zamani ni upanga,mwenye upanga apigane,auwe watu,wengine wamwangalie tu.Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake.
Sayansi upupu ya Qur'an

Quran inasema "Until, when he reached the setting of the sun, he found it setting in a murky spring, and found a people in its vicinity. We said, "O Zul-Qarnain, you may either inflict a penalty, or else treat them kindly." Sura Sura 18:86

Ingawa lugha hapo haieleweki lakini Point hapo ni kwamba Quran inasema jua huwa linazama kwenye murky spring.

Murky spring ni nini? Murky ni muonekano wenye kiza au mawingu na spring ni maji yatokayo chini ya ardhi au chemchem.
Sasa kweli Jua linazama kwenye giza na chemchem!? Hiyo ni Sayansi?
Kwanza imethibitika kisayansi kuwa jua halizami katika giza na chemchem. Jua linapanda kutoka mashariki na kuzama magharibi kwa sababu dunia inazunguka kwa muhilimili wake.

Pili Sura 75:9 And the sun and the moon are joined together.

Tatu Sura 21: 33....the sun and the moon each floating in an orbit.

Quran inaonyesha jinsi gani inavyo jipinga. Mara Jua na mwezi ziko joined pamoja, mara zima ninginia hewani!! Sasa jibu sahihi lipi?Jua na mwezi haziko joined pamoja kama Quran inavyodai, kwahiyo ilikuwa inabahatisha tu.
 
Ni uelewa wako mdogo,Qur'an 1.katika aya ya kuzama kwa jua,imesema ",aliona",yaani huo anayeelezewa kisa chake ndio aliona jua likizama kwenye chemchem,sio Qur'an ndio inasema kama jua linazama kwenye chemchem.Hiyo "kuona",kwa huyu aliyeona ni sayansi,ya kuonyesha binadamu tuna upeo wa kuona(hatuoni mbali).
2.Kuhusu juwa na mwezi kuwa pamoja,hiyo tafsiri uliyosoma hukuilewa,jua ndio linalotoa mwangaza kwenye mwezi,mwezi hauna mwangaza wake wenyewe
3.Aya ya tatu ndio umeilewa,kama unavyoona jua na mwezi viko katika orbit Yake.
Lazima ufahamu unayosoma wewe ni tafsiri ya Qur'an sio Qur'an.
Tafsiri ya kutoka lugha moja kwenda nyingine,anayetafsiri anatakiwa awe makini.
Nitakupa mfano wa lugha ya kiingereza:
Mwanamme aweza kumwambia mwanamke Grace, Marry me(Grace nioe)katika kiswahili mwanamke hawezi kumuoa mwanamme.Kwa kiswahili inatakiwa utafsiri Grace nikuoe?.
Kwa wazungu Mume aolewa na mwanamke pia aolewa.
 
Utapata tabu sana,kwa maana wewe wasoma tafsiri ya Qur'an sio Qur'an.Tafsiri kutoka lugha moja kwenda nyingine,si kazi rahisi.
Kila lugha ina utamaduni wake,kwa kufuata utamaduni wa wenye Lugha.
 
Wewe umeudandia huu uzi njiani,mengi humu games had a families kwa wenzako waliokuwako mwanzo,wakaishiwa hoja,wametafuta majali wametulia.
 
Ni uelewa wako mdogo,Qur'an 1.katika aya ya kuzama kwa jua,imesema ",aliona",yaani huo anayeelezewa kisa chake ndio aliona jua likizama kwenye chemchem,sio Qur'an ndio inasema kama jua linazama kwenye chemchem.Hiyo "kuona",kwa huyu aliyeona ni sayansi,ya kuonyesha binadamu tuna upeo wa kuona(hatuoni mbali).
2.Kuhusu juwa na mwezi kuwa pamoja,hiyo tafsiri uliyosoma hukuilewa,jua ndio linalotoa mwangaza kwenye mwezi,mwezi hauna mwangaza wake wenyewe
3.Aya ya tatu ndio umeilewa,kama unavyoona jua na mwezi viko katika orbit Yake.
Lazima ufahamu unayosoma wewe ni tafsiri ya Qur'an sio Qur'an.
Tafsiri ya kutoka lugha moja kwenda nyingine,anayetafsiri anatakiwa awe makini.
Nitakupa mfano wa lugha ya kiingereza:
Mwanamme aweza kumwambia mwanamke Grace, Marry me(Grace nioe)katika kiswahili mwanamke hawezi kumuoa mwanamme.Kwa kiswahili inatakiwa utafsiri Grace nikuoe?.
Kwa wazungu Mume aolewa na mwanamke pia aolewa.
Pumba tupu!
 
Utapata tabu sana,kwa maana wewe wasoma tafsiri ya Qur'an sio Qur'an.Tafsiri kutoka lugha moja kwenda nyingine,si kazi rahisi.
Kila lugha ina utamaduni wake,kwa kufuata utamaduni wa wenye Lugha.
Kama unakataa tafsiri ya Qur'an yako basi wewe kichwa chako siyo kizuri. Quran iliandikwa kwa lugha ya kiarabu, there is nothing special about it!
 
Back
Top Bottom