Mkuu pole sanakwa hilo.
- Kwa Tanzania yetu si dhani kama hilolinawezekana, tena kwa mtu fresh kama wewe.Ila kwa wafanya biashara wakubwa huwa wana kitu kinaitwa overdraft ila walehuwa wanaruhisiwa kwa sababu ni watu wana investment za kufa mtu na ni watuambao wanaaminika sana na benki.
- kwa mtu ambae huyawahi kopa nivigumu sana mkuu,
- Ila kuna kitu huwa kinaitwa credithistory ukiwa mkopaji na mrejshaji mzuru kuna sehemu hufika huwa hawakosind sana kuweka vitu rehani.
MKUU VILEVILE HUO MKOPO WA KUNUNUANYUMBA SI DHANI KAMA UNAWEZA PATA, LABUDA KAMA UNATAKA KUNUNUA ZA NHC MAKE WALEWAMEINGIA MKATABA NA NHC.
-Biashara ya nyumba hutengeneza faidapolepole sana na ndo maana mikopo ya ujenzi wanyumba huchua miaka mingi sanakurejeshwa.
- Mkuu kingine ni kwamba hiyo sio goodaidea, hiyo ni aidea ya kawaida kabisa, kuna good business aidea ambazo kweliukienda hata kupresent mahali watu watakuvulia kofia.
- tujifunze kutofautisha kati yabusiness aidea na sound business aidea, mkuu huwezi kwenda kwenye paneliukaenda kupresent aidea ya kununua bajaji za kuzungusha town, watu watakucheka.
- Ukiwa na sound business aidea,unaweza pata hata watu wa kuingia nao ubia wawe na wa hapahapa bongo au hatakutoka nje ya nchi, ila lazima iwe aidea iliyo enda shule mkuu, ambayoukipresent inakuwa inakubalika 100%.
- NA BENKI SI KWAMBA WANAANGALIA TUCOLLATERAL, WANCHEKI NA BIASHARA YENYEWE ILIVYO, MAKE UNAWEZA UKAWA NACOLLATERAL ZA KUTOSHA NA BADO UKANYIMWA MKOPO.