ministrant
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 1,400
- 2,623
Shukuru app ilisumbua, maana hiyo app ingine hapo inge merge app ya nmb mazima😅😅Walisababisha nikashindwa kutoa pesa ya kunywa bia. Jana nimelala nipo soba kabisa wapuuzi sana hawa...🤨View attachment 3637169
Kwenye UMEME tokeni haiji kwa sms ila ukienda sehemu ya pata tokeni kwenye menu ya Luku ndo unaona tokeni kwa hiyo inabdi uweke umeme umeshikilia sehemu ya tokeni.Tokea siku ya juzi kuna changamoto kwenye app yenu ya NMB mkononi, kutoa pesa ni shida na nimekuta nimeandikiwa deni ndani ya account yangu yaani (-Kisha kiasi ninachodaiwa) jambo ambalo sijawahi kuliona hapo kabla.
Nimetuma pesa juzi na imerudishwa jana ila nikitaka kununua umeme pia haiwezekani. Kuweni makini na mifumo yenu na kama mmezidiwa ni busara kuomba msaada