Vipi taasisi hizi zikipitiwa na CAG?

Vipi taasisi hizi zikipitiwa na CAG?

HORSE POWER

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
2,238
Reaction score
1,577
Habari ndugu zangu!!
Kwa ufinyu wangu wa mawazo na elimu yangu duni nawaza tu kwamba sijui hali itakuaje siku CAG akipitia mahesabu ya TISS na TPDF.Maana kila mwaka huko anakokagua CAG wizi upo pale pale kama kawaida tena wa mabilioni ya shilingi.Serikali ipo,bunge lipo,TAKUKURU wapo lakini wizi kwenda mbele.Sasa ikiwa wanaokaguliwa hali ni hii vipi huko huko 'pasipoguswa'?
 
CAG kuna sehemu anaziogopa.

Hata wafanyakazi wa CAG wenyewe wataogopa kuandika ripoti chafu
 
Back
Top Bottom