Vipi tayari Mzee Magoma ameshapewa Yanga SC yake au bado Wezi na Matapeli wanaing'ang'ania tu?

Vipi tayari Mzee Magoma ameshapewa Yanga SC yake au bado Wezi na Matapeli wanaing'ang'ania tu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Sakata la Juma Ally Magoma na Klabu ya Yanga linaendelea, ambapo leo saa 9 ( tarehe 7 August, 2024 ) Alasiri, hukumu ya kesi ya mapitio ya Bodi ya wadhamini wa Yanga dhidi ya Juma Ally Magoma na Geofrey Mwaipopo itatolewa katika Mahakama ya kisutu jijini Dar es Salaam.

Mwanamichezo wetu @hoseamchopa amezungumza na wakili wake Jacob Masenene kuhusu taarifa za mteja wake mzee Magoma kuhojiwa na Polisi juu ya tuhuma za kufoji saini za wajumbe wa bodi ya wadhamini wa Yanga.

Chanzo: itvtz

Oya mpeni Mzee wetu Magoma Timu yake kwanini mnaing'ang'ania wakati Hati Miliki ya Timu anayo Yeye Kisheria?
 
IMG-20240807-WA0343.jpg
 
Baada ya tar 8 haya mtaachana nayo mtahamia ya kwenu mtakumbuka kwa ni Kibu hakupewa adhabu,Usajili wa Lawi,mtamkumbuka Manula mliye muita duka na mtaibua maduka mengine,mara hee mnakumbuka kuna zile bil 20.
 
Tanzania bwana mambo yetu kivyetu vyetu. Kesi ipo mahakamani, Polisi wanahusika vipi kuendelea kuhoji upande mmoja? Kwa nini upande unaodai saini kufojiwa usipeleke malalamiko yake kwa Jaji/Hakimu kama sehemu ya utetezi wao au rufaa yao?
 
Sakata la Juma Ally Magoma na Klabu ya Yanga linaendelea, ambapo leo saa 9 ( tarehe 7 August, 2024 ) Alasiri, hukumu ya kesi ya mapitio ya Bodi ya wadhamini wa Yanga dhidi ya Juma Ally Magoma na Geofrey Mwaipopo itatolewa katika Mahakama ya kisutu jijini Dar es Salaam.

Mwanamichezo wetu @hoseamchopa amezungumza na wakili wake Jacob Masenene kuhusu taarifa za mteja wake mzee Magoma kuhojiwa na Polisi juu ya tuhuma za kufoji saini za wajumbe wa bodi ya wadhamini wa Yanga.

Chanzo: itvtz

Oya mpeni Mzee wetu Magoma Timu yake kwanini mnaing'ang'ania wakati Hati Miliki ya Timu anayo Yeye Kisheria?
Haya ndo aina ya makombe mnayoshindania;
1. Magoma cup
2. Kujaza uwanja saa sita cup
3. Fei toto cup
4. Kibu Denga cup

Mwambie kocha wenu ikifika kesho saa 3 usiku atakuwa keshafukuzwa kazi..!!!
 
Mzee alinifurahisha sana anaifanya Yanga kama Timu yake ya mtaani eti yangu..
 
Back
Top Bottom