Vipi tuendelee Kuusifu Ujinga wa Saido Kanoute na Rafu zake zinazoigharimu Simba SC au tumwambie sasa aache Upumbavu wake?

Huyo Kocha wangu Mganda Marehemu Tom Olinga alinikubali na kunipenda mno au kunipika vyema Kisoka hadi Kucheza Timu ya Kanda ya Luweero nchini Uganda na kupata Tuzo ambayo mpaka leo Mshua wangu ( Baba ) kaitundika Sebuleni Kwake na Picha yangu Juu nikiwa na Timu hiyo ya Kanda.

Ukiwa na Vipaji vingi ni raha mno tu.
Ukiwa Talented kwenye kitu chochote hauwezi lala njaaa😊😊
 
Na Demu Mwenyewe mvutaji Bangi kweli kweli hivyo naanza kupata Hisia kuwa huenda hata Yeye huwa Anavutishwa nae ndiyo maana anacheza Rafu za Kipumbavu ambazo zimekuwa zikitugharimu mno Simba SC.

Namkumbuka sana Marehemu Kocha Wangu wa Timu ya Shule Uganda nikiwa ni Mtanzania pekee niliyekuwa Nikikichafua Tom Olinga alikuwa akisema ukiamua Kucheza Rafu basi hakikisha huyo Unayemchezea harudi tena Uwanjani Wewe ukipewa Kadi Nyekundu.

Alikuwa hapendi kuona Unacheza Rafu laini halafu Wewe unatolewa kwa Red Card na Uliyemchezea anaendelea Kukipiga akisema Kiganda 'Toina Magezi' kwamba huko ni kutokuwa na Akili yaani Upumbavu.

Najuta kwanini GENTAMYCINE enzi zangu Nakichafua Shule ya Msingi, ya Upili na kidogo Chuo nilikuwa sijirekodi ili Wadogo zangu akina Kapombe, Mkude na Sawadogo Wajifunze na Waniige hasa nikicheza Mbavu ya Kulia ( Beki namba Mbili ) na Kiungo Ukabaji ya Kibabe ( Namba Sita ) ambayo ilinifanya nipewe mno Mbunye za bure na Wanafunzi wa Kike wa Uganda na hata baadhi ya Mijimama kunishobokea hali ambayo ilinilevya na kujikuta Naua kabisa Kipaji changu na Kubobea katika Mbunye hadi leo.

adriz upo......!!!!!!
kwa hiyo?
 
Nayasubiri Maoni yenu ili niyawasilishe Kwake kupitia Demu wake wa Kitanzania anayempenda hakuna mfano aishiye Keko mita chache tu na Kiwanda cha Pombe Moja Kali ambayo Ukiinywa ni lazima Umkunjie Sura anayekutazama au yoyote aliyeko mbele yako.
Ukweli sadio alifanya vitu vya hovyo kabisa
 
Putin kama Putin...
1683402690197.jpg
 
Na Demu Mwenyewe mvutaji Bangi kweli kweli hivyo naanza kupata Hisia kuwa huenda hata Yeye huwa Anavutishwa nae ndiyo maana anacheza Rafu za Kipumbavu ambazo zimekuwa zikitugharimu mno Simba SC.

Namkumbuka sana Marehemu Kocha Wangu wa Timu ya Shule Uganda nikiwa ni Mtanzania pekee niliyekuwa Nikikichafua Tom Olinga alikuwa akisema ukiamua Kucheza Rafu basi hakikisha huyo Unayemchezea harudi tena Uwanjani Wewe ukipewa Kadi Nyekundu.

Alikuwa hapendi kuona Unacheza Rafu laini halafu Wewe unatolewa kwa Red Card na Uliyemchezea anaendelea Kukipiga akisema Kiganda 'Toina Magezi' kwamba huko ni kutokuwa na Akili yaani Upumbavu.

Najuta kwanini GENTAMYCINE enzi zangu Nakichafua Shule ya Msingi, ya Upili na kidogo Chuo nilikuwa sijirekodi ili Wadogo zangu akina Kapombe, Mkude na Sawadogo Wajifunze na Waniige hasa nikicheza Mbavu ya Kulia (Beki namba Mbili) na Kiungo Ukabaji ya Kibabe (Namba Sita) ambayo ilinifanya nipewe mno Mbunye za bure na Wanafunzi wa Kike wa Uganda na hata baadhi ya Mijimama kunishobokea hali ambayo ilinilevya na kujikuta Naua kabisa Kipaji changu na Kubobea katika Mbunye hadi leo.

adriz upo......!!!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko kipaji chako kikapotea
 
Ngada FC. Mtatajana sana safari hii..!! Huu mwaka hadi upinduke, hakuna rangi mtaacha ona
 
Nadhani umeelewa niseme nini Sasa.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Mkuu mi mwenyewe sijui lbda mwambie genta akiweke vizuri hicho kiswahili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kila mchezaji ana emotions kwa style tofauti...
Issue hapa bench la simba lina wataalam wa saikolojia...?
 
Huyo Kocha wangu Mganda Marehemu Tom Olinga alinikubali na kunipenda mno au kunipika vyema Kisoka hadi Kucheza Timu ya Kanda ya Luweero nchini Uganda na kupata Tuzo ambayo mpaka leo Mshua wangu (Baba) kaitundika Sebuleni Kwake na Picha yangu Juu nikiwa na Timu hiyo ya Kanda.

Ukiwa na Vipaji vingi ni raha mno tu.
Height kama hii Genta ulikua unamkaba nani?[emoji23][emoji23]
IMG-20220821-WA0011.jpg
 
Back
Top Bottom