Wewe naye hukumwelewa tu kwani mimi nilivyomwelewa alimaanisha huyo uliyemwita "Putin kama Putin" Ndiyo maana ametumia neno "mpumbavu"akimaanisha yeye.Wewe ndiyo maana unaitwa Popoma. Hujawahi kumiliki akili. Sasa sababu ya kuniita mpumbavu hapa iko wapi?
Angekuwa anakutukana wewe angesema "pumbavu" angemaanisha wewe.