Vipi tuendelee Kuusifu Ujinga wa Saido Kanoute na Rafu zake zinazoigharimu Simba SC au tumwambie sasa aache Upumbavu wake?

Ukiwa Talented kwenye kitu chochote hauwezi lala njaaa😊😊
 
kwa hiyo?
 
Nayasubiri Maoni yenu ili niyawasilishe Kwake kupitia Demu wake wa Kitanzania anayempenda hakuna mfano aishiye Keko mita chache tu na Kiwanda cha Pombe Moja Kali ambayo Ukiinywa ni lazima Umkunjie Sura anayekutazama au yoyote aliyeko mbele yako.
Ukweli sadio alifanya vitu vya hovyo kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko kipaji chako kikapotea
 
Ngada FC. Mtatajana sana safari hii..!! Huu mwaka hadi upinduke, hakuna rangi mtaacha ona
 
Nadhani umeelewa niseme nini Sasa.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Mkuu mi mwenyewe sijui lbda mwambie genta akiweke vizuri hicho kiswahili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kila mchezaji ana emotions kwa style tofauti...
Issue hapa bench la simba lina wataalam wa saikolojia...?
 
Height kama hii Genta ulikua unamkaba nani?[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…