Vipi ulaya imeshaganda kwa baridi baada ya urusi kufunga koki za gesi?

Championship

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
5,500
Reaction score
10,616
Matamko ya warusi wa JF ilikuwa ni kwamba majira ya baridi yakiingia urusi atazuia gesi hivyo ulaya yote itaganda.

Ningependa kupata updates juu ya hali ya ulaya kwa sasa maana msimu wa baridi ulianza mwezi disemba.
 
Screenshot_20230105-140634_Chrome.jpg
 
Matamko ya warusi wa JF ilikuwa ni kwamba majira ya baridi yakiingia urusi atazuia gesi hivyo ulaya yote itaganda.

Ningependa kupata updates juu ya hali ya ulaya kwa sasa maana msimu wa baridi ulianza mwezi disemba.
Hata Moscow wameganda zaidi kwa baridi kuliko nchi yoyote, iliripotiwa watu karibu milion 6 wamekosa huduma nishati ya umeme kutokana na libaridi na miundo mbinu yao kuchafuka
 
Vip na uchumi wa Urusi umesha sambaratika ?maana na nyie nato ya jf mlituambia kuwa Urusi haiwezi kuishi bila pesa za Ulaya.
Yes, imetokea mkuu kumbuka Urusi iliomba kuuza oil soko la dunia na kupangiwa $60 kwa pia ili wajikwamue angalau kutokana na hali ngumu waliyonayo, lakini wakalalamika na kusema hiyo bei ni ndogo sana wakaambiwa kama munataka ni hiyo kama hamtaki ni hiyo sasa wameamua kunywa wenyewe oil yao.

Urusi ilitengeneza faida sana soko la ulaya kwa gas na oil lakini sasa ameyakanyaga mawaya shoti kila upande ni suala la muda tu, Putin ndo kesha tena
 
😂😂😂mpaka msimu utapita hakuna cha kuganda wala nini wanatoboa fresh tu ..wakati huo Russia anapumulia mashine baridi kwake inamchapa pia+kipigo cha juzi bado leo anaundiwa kikwazo kipya yani Putini naona anamaliza muda wake kwa aibu ...
 
Ni wapumbavu tu ndio waliokuwa wanafikiri wazungu wa West watakufa kwa baridi kwa kukosa gesi ya Russia.
Hao watu wameishi kwenye barafu karne nyingi kabla hata ya ugunduzi wa mafuta na gesi hapo juzi tu tena huku wakitawala sehemu kubwa ya dunia.
 
Hebu rudia kusoma ulicho kiandika nina imani hata ww hutakielewa.
 
Ni wapumbavu tu ndio waliokuwa wanafikiri wazungu wa West watakufa kwa baridi kwa kukosa gesi ya Russia.
Hao watu wameishi kwenye barafu karne nyingi kabla hata ya ugunduzi wa mafuta na gesi hapo juzi tu tena huku wakitawala sehemu kubwa ya dunia.
Lakini na nyie mlituambia kuwa uchumi wa Urusi utasambaratika ndani ya miezi sita baada ya vikwazo vya nchi za magharibi na kususia gesi yake lakini tunaelekea mwaka hakuna hata dlili.
 
Matamko ya warusi wa JF ilikuwa ni kwamba majira ya baridi yakiingia urusi atazuia gesi hivyo ulaya yote itaganda.

Ningependa kupata updates juu ya hali ya ulaya kwa sasa maana msimu wa baridi ulianza mwezi disemba.
Vip na uchumi wa Urusi umesha sambaratika ?maana na nyie nato ya jf mlituambia kuwa Urusi haiwezi kuishi bila pesa za Ulaya.
Wamepangiwa bei ya kuuzia gas yao
 
😂😂😂mpaka msimu utapita hakuna cha kuganda wala nini wanatoboa fresh tu ..wakati huo Russia anapumulia mashine baridi kwake inamchapa pia+kipigo cha juzi bado leo anaundiwa kikwazo kipya yani Putini naona anamaliza muda wake kwa aibu ...
Walichukua Picha za wajerumani waliokuwa camp wakiota moto wa kuni wakaanza kushangilia eti ulaya wamerudi zama kuni na mafiga
 
😂😂😂mpaka msimu utapita hakuna cha kuganda wala nini wanatoboa fresh tu wakati huo Russia anapumulia mashine baridi kwake inamchapa pia+kipigo cha juzi bado leo anaundiwa kikwazo kipya yani Putini naona anamaliza muda wake kwa aibu ...
Walichukua Picha za wajerumani waliokuwa camp wakiota moto wa kuni wakaanza kushangilia eti ulaya wamerudi zama kuni na mafiga
😂😂😂😂😂😂baba yao haoni mbele saivi yani Putiniii hataka aamini kama aliye mdharau ndio amemdindia kiasi hiki...
 
Back
Top Bottom