Hawakawii kuketa hizi picha na kutuambia tayari Ulaya na Marekana wameshaganda hukoπππmpaka msimu utapita hakuna cha kuganda wala nini wanatoboa fresh tu wakati huo Russia anapumulia mashine baridi kwake inamchapa pia+kipigo cha juzi bado leo anaundiwa kikwazo kipya yani Putini naona anamaliza muda wake kwa aibu ...
ππππππbaba yao haoni mbele saivi yani Putiniii hataka aamini kama aliye mdharau ndio amemdindia kiasi hiki...
Tuwekee data za kushuka tuone.yah haujasambaratika ila unashuka kwa kasi ya 5G
Kuganda kwa barafu Ni Suala la mda mfupi Kama kweli Ulaya ikikatiwa gesi ya Urusi Kama tulivyoambiwa na Pro-Russia mpaka wakatunga wimbo wa WINTER,WINTER,WINTER. Cha ajabu mpaka Sasa Ulaya haijaganda kumbe zilikuwa Propaganda za Urusi na MaPro Wake.Vip na uchumi wa Urusi umesha sambaratika ?maana na nyie nato ya jf mlituambia kuwa Urusi haiwezi kuishi bila pesa za Ulaya.
Warusi wa JF walikuwa wanasema 'Winter is coming'.Wengi wao waliokuwa wanasema hivyo ukute hata Winter yenyewe hawaifahamu zaidi ya kugoogle na kutubandikia hapa.Ni wapumbavu tu ndio waliokuwa wanafikiri wazungu wa West watakufa kwa baridi kwa kukosa gesi ya Russia.
Hao watu wameishi kwenye barafu karne nyingi kabla hata ya ugunduzi wa mafuta na gesi hapo juzi tu tena huku wakitawala sehemu kubwa ya dunia.
Kupangiwa na kukumbushwa ni vitu viwili tofauti.. Niambie sitaki "kukumbushwa" nitakuelewa.Nimesha kwambia usimipangie cha kuandika.
Mkuu umeongea mambo mengi lakini mengi hayana msingi.Kuganda kwa barafu Ni Suala la mda mfupi Kama kweli Ulaya ikikatiwa gesi ya Urusi Kama tulivyoambiwa na Pro-Russia mpaka wakatunga wimbo wa WINTER,WINTER,WINTER. Cha ajabu mpaka Sasa Ulaya haijaganda kumbe zilikuwa Propaganda za Urusi na MaPro Wake.
Pro-Russia pia walidai kwamba Wanajeshi wa Urusi wanasubili WINTER ili kuwafyeka wanajeshi wote wa Ukraine na Kuiteka KYIV eti Wanajeshi wa Urusi Ni wazoefu wa Vita msimu wa Baridi. Cha ajabu mpaka leo Bado Ukraine iko imara badala yake Mamio ya wanajeshi wa Urusi wanakaangwa na HIMARS huko kwenye Battle Field na Baridi likiwepo. Kumbe hii pia ilikuwa Propaganda za Pro-Russia.
Kuhusu Uchumi wa Urusi kuteteleka nadhani utakuwa haufuatilii Vyombo vya habari vya Urusi. Waziri wa fedha wa Urusi mwezi Desemba alikili wazi kwamba Ukuaji wa Uchumi wa Russia umepungua kutoka 4.6% mpaka 2.1% Mwaka 2022. Uuzaji wa bidhaa za Urusi nje ya Nchi umeshuka kwa 73%. Zaidi ya Mafuta ya Gesi anayouza kwa Bei ya Discount huko China na India,Hakuna bidhaa nyingine ya Urusi inayouzwa nje. Mbolea na nafaka za Urusi zinaozea kwenye Maghara.
Thamani ya Ruble kabla ya Uvamizi wa Urusi dhidi ya Dollar ya Marekani ilikuwa 1$= 68RU.Baadae Urusi ilipotishia kwamba nchi zote zitanunua Mafuta yake kwa fedha yake ya Ruble,Thanks ya Ruble ikapanda mpaka 1$=53%. Baada ya Ulaya na G7 kuweka ukomo wa Bei ya Mafuta ya Urusi kutovuka $60 kwa Pipa,Nenda kaangalie thamani ya fedha ya Urusi ipo 1$=72RU. Kwahiyo mpaka Sasa Ruble inaendelea kushuka Thamani. Ngoja tusubili Zuio la Urusi kuuzia Mafuta nchi zilizoweka ukomo wa Bei kuanza kufanya Kazi mwezi Feburuari tuone thamani ya Ruble itakuwaje.
Unategemea nani atangaze hizo habari.propaganda kupitia media zina nguvu sana kuliko mabomu na risasi.Matamko ya warusi wa JF ilikuwa ni kwamba majira ya baridi yakiingia urusi atazuia gesi hivyo ulaya yote itaganda.
Ningependa kupata updates juu ya hali ya ulaya kwa sasa maana msimu wa baridi ulianza mwezi disemba.
Warusi wa JF walikuwa wanasema 'Winter is coming'.Wengi wao waliokuwa wanasema hivyo ukute hata Winter yenyewe hawaifahamu zaidi ya kugoogle na kutubandikia hapa.
Uchumi WA urusi ni Hali mbaya Sana hapa Moscow ni balaaa,tunateseka Sana,vita iishe Tu.Vip na uchumi wa Urusi umesha sambaratika ?maana na nyie nato ya jf mlituambia kuwa Urusi haiwezi kuishi bila pesa za Ulaya.
Russia uchumi wake siyo stable kama mwanzo.Vip na uchumi wa Urusi umesha sambaratika ?maana na nyie nato ya jf mlituambia kuwa Urusi haiwezi kuishi bila pesa za Ulaya.
Tuwekee data za kushuka tuone.
Sasa hivi umetulia kimya kwa aibu uliyopata kutoka kwa Supa pawa wa mchongo.Hali ya hewa haitabiliki
@Elungata aibu imemjaa uso mzima,ila kachutama.Mkuu Championship asante kwa kumbukumbu nzuri.
Most ya zile ID kwa sasa zimepotea wameona Supa power kumbe hamna lolote. Wale wa mwanzo wote wamekimbia humu baada ya mambo kuwa tofauti.
Vip na uchumi wa Urusi umesha sambaratika ?maana na nyie nato ya jf mlituambia kuwa Urusi haiwezi kuishi bila pesa za Ulaya.
Hii hapaKuganda kwa barafu Ni Suala la mda mfupi Kama kweli Ulaya ikikatiwa gesi ya Urusi Kama tulivyoambiwa na Pro-Russia mpaka wakatunga wimbo wa WINTER,WINTER,WINTER. Cha ajabu mpaka Sasa Ulaya haijaganda kumbe zilikuwa Propaganda za Urusi na MaPro Wake.
Pro-Russia pia walidai kwamba Wanajeshi wa Urusi wanasubili WINTER ili kuwafyeka wanajeshi wote wa Ukraine na Kuiteka KYIV eti Wanajeshi wa Urusi Ni wazoefu wa Vita msimu wa Baridi. Cha ajabu mpaka leo Bado Ukraine iko imara badala yake Mamio ya wanajeshi wa Urusi wanakaangwa na HIMARS huko kwenye Battle Field na Baridi likiwepo. Kumbe hii pia ilikuwa Propaganda za Pro-Russia.
Kuhusu Uchumi wa Urusi kuteteleka nadhani utakuwa haufuatilii Vyombo vya habari vya Urusi. Waziri wa fedha wa Urusi mwezi Desemba alikili wazi kwamba Ukuaji wa Uchumi wa Russia umepungua kutoka 4.6% mpaka 2.1% Mwaka 2022. Uuzaji wa bidhaa za Urusi nje ya Nchi umeshuka kwa 73%. Zaidi ya Mafuta ya Gesi anayouza kwa Bei ya Discount huko China na India,Hakuna bidhaa nyingine ya Urusi inayouzwa nje. Mbolea na nafaka za Urusi zinaozea kwenye Maghara.
Thamani ya Ruble kabla ya Uvamizi wa Urusi dhidi ya Dollar ya Marekani ilikuwa 1$= 68RU.Baadae Urusi ilipotishia kwamba nchi zote zitanunua Mafuta yake kwa fedha yake ya Ruble,Thanks ya Ruble ikapanda mpaka 1$=53%. Baada ya Ulaya na G7 kuweka ukomo wa Bei ya Mafuta ya Urusi kutovuka $60 kwa Pipa,Nenda kaangalie thamani ya fedha ya Urusi ipo 1$=72RU. Kwahiyo mpaka Sasa Ruble inaendelea kushuka Thamani. Ngoja tusubili Zuio la Urusi kuuzia Mafuta nchi zilizoweka ukomo wa Bei kuanza kufanya Kazi mwezi Feburuari tuone thamani ya Ruble itakuwaje.
Wewe unajuaje kama kuni na mkaa wa mawe hautumiki kwenye kipindi hiki cha baridi/winter.Walichukua Picha za wajerumani waliokuwa camp wakiota moto wa kuni wakaanza kushangilia eti ulaya wamerudi zama kuni na mafiga
Hizi takwimu huwa mnazibuni wapi, lakini?? Narudia kuwakumbusheni tafuteni comments za leo za Secretary General wa NATO kasema nini kuhusu 6uwezo wa kijeshi wa Russia - amesema malengo yao kuhusu Ukraine yatatekelezeka yote, regardless of some minor setbacks kama za juzi - kaongezea kwa kusema kwamba jeshi LA Urusi liko radhi kuvumulia baadhi ya ushenzi wa Senselessky na wenzake kwa muda tu, lakini Russia ikikata shauri kwamba now they have had enough is enough of Ukranians puppet regime nonsense in Kiev, hukuna cha NATO wala USA wanaweza kumfanya lolote Urusi wala Putin -mnacho sahau ni kwamba Russia is still a thermonuclear SUPER POWER like it or not up2U - semeni mnacho kitaka lakini hata USA na some EU Nations zenye busara zimekwisha sema kwamba hakuna hata moja inataka kuingia vitani ie WW3 na Russia, mnajua kwa nini?? Jibu mnalo nyei endelezeni dharau zenu za kutoelewa mambo kiundani zaidi kuhusu silaha za kisasa za Urusi pamoja na madhara yake, endleeni kusifia 1970/80 Minuteman ICBMs na SML Trident ICBM all laden with yesteryear /stone age technology zote zinaweza kuwa intercepted and destroyed while in either their second or third phases by no nonsense MiG-31 lightening fast air to air missiles capable of detecting targets almost 400Km away and whose killing radius is more than 300Km that means Pilot sip lazima kuziona physically attacking ICBMs.Hii hapa