Vipi ulaya imeshaganda kwa baridi baada ya urusi kufunga koki za gesi?


Msemaji wa ikulu ya Kremlin ya Putin chawa namba moja wa Putin naona umechanganya madesa tu unawasikia Kaydrov siku hizi, Wegner ndio hao kila siku wanapukutishwa War is a hell vita isikie kwa jirani Marekani akiwa na Silaha za kisasa akitoroka Vietnam bila kuaga Vita ya uonevu haijawahi kushinda hata siku moja
Putin ana smell damu za watu wasio na hatia hana mwisho mzuri
 
Wewe unajuaje kama kuni na mkaa wa mawe hautumiki kwenye kipindi hiki cha baridi/winter.
Sasa msiseme kuwa ni sababu wamekosa gas. Kuna hadu machine za umeme wa kawauda kwa ajili ya kuzalisha joto
Wacha maneno wewe, unapenda sana kuleta vichekesho na vikaragosi humu ndani
 
Huku hakukufai we mzee. Nakushauri umgehamia kule kwenye ule uzi wa 'Kula Tunda Kimaskhara', kule mdiyo kuna kufaa wewe.
Connection hiyo hapo chini nimekuwekea

 
Hahaha eti Uingereza watu wanakula chakula cha mbwa.

Kama Tanzania nchi fukara watu wake hawajafikia hiyo level ndio iwe Uingereza. Labda Uingereza ya Bonyokwa

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Majibu yako yanadhilisha tofauti ya mtu ambaye hakosoma shule za kuunga unga-na.mtu mwenye upeo mkubwa wa analytical mind na exposure nayo ina matter sana - any level headed person hawezi kutumbukiza masuala ya ngono kwenye masuala serious kama vita ya Ukraine-majibu yako speaks volume about your PERSONNA.
 
[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo wewe ndiyo analytical mind mwenye shule kubwa iliyopelekea kukulemaza na kuwa na biased mind yenye chukichuki?
Ujue mimi nakujibu wewe kulingana na nilivyoona akili yako ilivyo?
Usitarajie kwamba ninapo deal na wewe na watu wenye akili za aina yako nitajibu tofauti na ninavyokujibu.
Sina huo muda wa kutoka nje line yako unayostahili.
 
Mkuu LIKES zangu unaziona?
 
Hahaha eti Uingereza watu wanakula chakula cha mbwa.

Kama Tanzania nchi fukara watu wake hawajafikia hiyo level ndio iwe Uingereza. Labda Uingereza ya Bonyokwa

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ubishi bishi tu, kwa akili zako unafikiri cha

kula cha makopo kwa ajili ya paka na mbwa kinakuwa processed kwa kutumia mali ghafi zipi?? Hilo wala halishangazi, lakini wewe utabishi tu kujaribu kufurahisha baraza - eti labda Uingereza ya Bunyokwa nani kakwambia Uingereza is a bed of roses, hakuna watu maskini wa kutupwa wanao tegemea UB-40,hela hizo ndogo wanazo pewa na Serikali kila ijumaa zikiwahishia wana haha kama nini mpaka unawaonea huruma -FYI, they can do anything under the SUN.
 
Asante sana mkuu, mpumbavu mjibu sawasawa na upumbavu wake.
 

Sasa link hii ina mahusiano gani na masuala ya mgogoro wa Ukraine na international community - are you mentally sound kweli??
 
Sasa link hii ina mahusiano gani na masuala ya mgogoro wa Ukraine na international community - are you mentally sound kweli??
Kumbe umeifungua na kuisoma eeh!! Najua umeshapata chaka utakalokua unatumia muda wako mwingi.
Hiyo link ndiyo size yako.
Usinishukuru sasa, unawwza ukaja kunishukuru hata baadaye huko au Inbox, mimi sina noma.
 
Kumbe umeifungua na kuisoma eeh!! Najua umeshapata chaka utakalokua unatumia muda wako mwingi.
Hiyo link ndiyo size yako.
Usinishukuru sasa, unawwza ukaja kunishukuru hata baadaye huko au Inbox, mimi sina noma.
[emoji846][emoji3][emoji846][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…