kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,604
Baada ya tamko la Rais kuhusu kufutwa kwa Value Retantion fee iliyokua inalalamikiwa Bodi ya mkopo ilitoa taarifa kuwa wanafanya marekebisho ya taarifa za wanufauka wanaolipa mkopo na kutoa taarifa za kula hatua waliyofikia.
Kimya kilichopo kinaonyesha kua yawezekana wanaweza kuja na formula ambayo itafanya suala hili kua la kisiasa na sio kumpunguzia mzigo mlipaji wa mkopo.
Kuna maswali yaliyokua yanaulizwa kuhusu kufutwa kwa VRF ambayo wengi walihitaji kupata majibu yake.
Tunaomba updates mapema ili kama kuna malalamiko yafanyiwe kazi mapema