Wamesema july 27 kila kitu kitakuwa clear!
Nan ametoa tamko hilo?wambie wafute VRF pamoja na penalty ,wambie Mungu anawaona sisi ni watanzania wenzao wasituumize,watekeleze agizo la Mh Raisi na Waziri wa Elimu waache kuwa na mioyo migumu kama farao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamesema july 27 kila kitu kitakuwa clear!
Heslb wenyewe. Juzi niliingia website yao kuperuzi juu ya hilo nikapata hizo data pia waathirika wengi wahilo wanauliza sana juu yahilo majibu yao kwasasa nikwamba wapo kwenye maboresho ila 27 july everything will be clear juu ya hio VRF na kutolewa kwa penalty.Nan ametoa tamko hilo?wambie wafute VRF pamoja na penalty ,wambie Mungu anawaona sisi ni watanzania wenzao wasituumize,watekeleze agizo la Mh Raisi na Waziri wa Elimu waache kuwa na mioyo migumu kama farao
Wajinga sana, wanajifanya ile riba umeshailipa kabla 1st May. Hii inapelekea deni kuongezeka
Wakiondoa VRF yote wanaogopa madeni kurudisha hela za watu waliomaliza deni+VRF.Ile riba ya value retention fee haijalipwa kabisa,hilo deni wanalo wao kwenye data base yao walikuwa wanasubir den la kwenye salary slip liishe ili waanze kuwakata tena wanufaika,na nan mwenye nguvu kati ya bod na Waziri wa Elimu?maana nilimsikia Wazir wa Elimu akizungumza tarehe 2/7/2021 siku ya ijumaa saa tatu usiku wakati akizungumzia siku 100 za Mh Raisi Samia kwamba wanufaika walipe pesa waliyokopeshwa yaan disbursed amount sasa nyie watu wa bod mnashindwa nini kutekeleza hilo agizo?
Wakiondoa VRF yote wanaogopa madeni kurudisha hela za watu waliomaliza deni+VRF.
Wale waliomaliza maden hawakuwekewa value retention fee Pia aliyemalza yeye hana shida ya kurejeshewa maana tayar amelipa den lake
Heslb wenyewe. Juzi niliingia website yao kuperuzi juu ya hilo nikapata hizo data pia waathirika wengi wahilo wanauliza sana juu yahilo majibu yao kwasasa nikwamba wapo kwenye maboresho ila 27 july everything will be clear juu ya hio VRF na kutolewa kwa penalty.
Hakuna tangazo kama hiloNgoja tusubiri tuone,hilo tangazo la kufikia tarehe 27 kuwa wamefanya maboresho hilo tangazo lipo kwenye tovuti yao?
Hakuna tangazo kama hilo.Ngoja tusubiri tuone,hilo tangazo la kufikia tarehe 27 kuwa wamefanya maboresho hilo tangazo lipo kwenye tovuti yao?
Hakuna tangazo kama hilo.
Mimi statement nimechukulia ofisini kwao Tazara juzi tu na deni limeongezeka.
Ingekuwa kuna maboresho tarehe 27 wangeniambia ila hawajasema chochote.
Sana mm nilikopa 7m ila deni linasoma 13+m sasa si wizi huu