Vipi wake zetu wangekuwa kama mdada wa tangazo la Tigo?

Yule mbebezi ni wa ukweli kama ndio uhalisia ule kwa kweli wanaume tungeuishi maisha marefu
 
Mtoto anaonesha mtamu sana, amenikumbusha kuna chupi moja ya kuitwa Mage from GreenCity nilikuwa naizimia sana yani kuna kipindi nilikuwa na project nafanya maeneo yale. Wamefanana na huyo manzi wa tigo by 90% hapo usoni.
 
Mkuu Mage
 
Halafu kapita hapa hata hajafika mbali vipi nikuombee namba?
 
Hapo kuna mwamba mwenzio anakusaidia isivyo jua
 
me nafaham ni mwlm anaitwa Mage Frank anapokaa sjui ila ni sstr angu yupo huko mbeya sa sjui we ndo Meji yang
Pia yeye kafanana na huyo wa tangazo la tigo
Huenda akawa ni yeye japo sina hakika, huyo dadaako ana watoto?
 
πŸ˜…πŸ˜… kwaiyo ni yeye nifurah nimemjua meji yangu

Mtoto ni mda Sana sijawasilian nae huenda anae au la!
Hahahah huyo naemsemea ana mtoto mkubwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…