Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Tuna save sana, utasikia zile unazofichana lete basi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sevuni hela za vocha hizo tuishi vizuri tukifulia jamani. Acheni majungu af mjifunze kupika misosi mikali hadi tushangae.