Vipi wake zetu wangekuwa kama mdada wa tangazo la Tigo?

Vipi wake zetu wangekuwa kama mdada wa tangazo la Tigo?

Ndiyo hivyo, ujanja utasikia eti wanapenda vipande vipande [emoji23][emoji23] sasa aliyewadanganya mwanamke yeye anapenda vizima vizima nani? Wao wakigeuziwa vibao haraka sana kutafuta panga haa haaa
Ndio zao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acheni uongo..
Kila siku mpo kwenye Uzi wa kimasikhara halafu mnasema ni waaminifu.

Hata kea mwanamke ni hivyohivyo, Mwanaume mjanja mjanja hapaswi kufanyiwa vile..

Nyie hampo Kama yule mwanaume wa lile tangazo,kwahiyo kumtaka mwanamke wa vile ni ndoto zenu za kusadikika.
Ule uzi wa chai tu 😂😂😂 af inaonesha mnauchukia sana hamtiagi mguu kabisa!
 
Ndiyo hivyo, ujanja utasikia eti wanapenda vipande vipande [emoji23][emoji23] sasa aliyewadanganya mwanamke yeye anapenda vizima vizima nani? Wao wakigeuziwa vibao haraka sana kutafuta panga haa haaa
Kamanda ni mmoja tu chomboni! Uliona wapi makamanda wawili?
 
Wao wanachokifanya akiwa na pesa anakuwa kunguru asiye fugika na siku akifulia anakuwa njiwa [emoji23][emoji23]
Mbona majungu sasa, sio wote kunguru bana. Mie nikiwa nahela nakula na wife hadi zikiisha then yeye ndio anaanza vichambo tena nikifulia 😂😂😂!!!

Unazungumziaje hilo?
 
Mkuu kwani huangaliagi hata taarifa ya habari hapo kwako? Habari haiishagi bila lile tangazo kuoneshwa tena ni zaidi ya mara moja.
Duh! Mimi na TV ni vitu viwili tofauti. Sikumbuki mara ya mwisho kuangalia taarifa ya habari ni lini. Habari nazipata zaidi humu JF. Ila kuna mwamba kaliweka nimedownload kabisa.
 
Mbona majungu sasa, sio wote kunguru bana. Mie nikiwa nahela nakula na wife hadi zikiisha then yeye ndio anaanza vichambo tena nikifulia [emoji23][emoji23][emoji23]!!!

Unazungumziaje hilo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwezi sema hapa ni kimya kimya tu kama nyau vile
 
Waguswe wao sasa wanavyo oaga macho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sevuni hela za vocha hizo tuishi vizuri tukifulia jamani. Acheni majungu af mjifunze kupika misosi mikali hadi tushangae.
 
Miezi miwili kwa nywele anazosuka zile ingekuwa ngumu, yule katupiga kunga bana [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe ndiyo maana hampendi tukajinunulie wenyewe vitu vizuri haaà haaa
 
Duh! Mimi na TV ni vitu viwili tofauti. Sikumbuki mara ya mwisho kuangalia taarifa ya habari ni lini. Habari nazipata zaidi humu JF. Ila kuna mwamba kaliweka nimedownload kabisa.
Eeh mkuu, nilitaka nikutag kama ushalipata freshi!

Mie pia TV nimeanza kuangalia kipindi hiki cha corona niliweka Azam Tv! Kabla ya hapo nilikuwa naifutaga vumbi tu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom