Vipi wake zetu wangekuwa kama mdada wa tangazo la Tigo?

Vipi wake zetu wangekuwa kama mdada wa tangazo la Tigo?

Duh! Nildhani ni Mimi tu ndoo anayenikosha kumbe tupo wengi. Mimi naona raha pale anaposema " use na siku njema" kwa sauti lainii na tamuu huku akirembua. Yaan hata ukienda job lazima mnara usome5g kwa kumuwaza
 
Endelea kukataa tu mkuu na wala siwezi kulazimisha ukubali lakini chanzo ni wanawake wenyewe.
Mwanamke unamuweka ndani anakuzoea, anakujibu atakavyo.
Kwahiyo tuseme hata chanzo cha mke kuchepuka na mme mwenyewe? Tunaeleweshana tu mkuu, mme anakuwa na mchepuko huko tena wakudumu, mke akilijua hilo na kumwambia endele na huyo mie basi mhona huwa wanakataa na mke akimwaga manyanga mme hulalamika sana, kama mke kamkinai basi abaki na brand mpya [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Yule dada mwizi tu umeona yale macho, na kile kideko cha "ndio hii baaaba!" hiku akibinua macho 🙄
 
Kwahiyo ule ukarimu unaoonyeshwa na huyo mdada umeuchukulia kuwa ni tabia ya kweli ya huyo msanii? Wake up man, hiyo ni advertisement babaah!
Tunajua ni igizo ila wadau wanatamani ungekua ndio ukweli wa maisha, afya za wanaume wengi huenda zingeimarika na huenda swali la yule msanii lingepata jibu "why do married men die earlier than their wives"
 
Habari za single maza tungesikia kwa mbali .hakuna asiyependa mwanamke mchumi tena anayejua kubembeleza.kina dada tumieni tangazo kama darasa kuna jambo la kujifunza
 
Hawa wanawake waporipori ukimleta town in long run lazima wabadilike na kuanza ujuaje mwingiii
 
Laiti kama wake zetu wangekuwa na ukarimu wa namna ile mambo ya kupenda vipande yasingekuwepo.

"Na ile elfu ninayosevu kila siku ndio nimetumia baabah!"

Mwamba unaacha 10 unakula msosi wa elfu 15! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ai wishi i kudu bi Haijipiii!!!
Mkuu weka kideo nasi tulione kama vp

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Laiti kama wake zetu wangekuwa na ukarimu wa namna ile mambo ya kupenda vipande yasingekuwepo.

"Na ile elfu ninayosevu kila siku ndio nimetumia baabah!"

Mwamba unaacha 10 unakula msosi wa elfu 15! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ai wishi i kudu bi Haijipiii!!!
Kwani nyie mpo Kama mwanaume wa tangazo Hilo la tigo?
 
Back
Top Bottom