Vipi wake zetu wangekuwa kama mdada wa tangazo la Tigo?

Vipi wake zetu wangekuwa kama mdada wa tangazo la Tigo?

Mnawapenda hao mkiwa na kipato kidogo, simu mkiwa na kipato kikubwa mnaenda kuwatafuta wanajua kuzitumia vizuri, nyie mnajema kuanzia lini?
Ushaanza sasa! Tunawapenda wote tu sema mnajistukia. Kuwa mkarimu tu hutapungukiwa kitu
 
Hiyo ni lugha ya Biashara tu na kamwe usidanganyike!
Kama unataka kuharibikiwa ndoa yako jaribu huo ushauri fake wa Tigo...!!
Njemba watajirusha na mkeo wanamwachia mpunga wa kueleweka halafu wewe ukija unaishia kulishwa makombo....sidanganyiki ng'o!!!
Hahah kwahio hamna KE wa hivyo eeh?
 
Kwahiyo ule ukarimu unaoonyeshwa na huyo mdada umeuchukulia kuwa ni tabia ya kweli ya huyo msanii? Wake up man, hiyo ni advertisement babaah!
Naelewa mkuu! Nilitaka kufanya warm up to kwa KE walipo humu.
 
Twende na picha[emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20200422-070232_1591175863749.jpg
 
Mnawapenda hao mkiwa na kipato kidogo, simu mkiwa na kipato kikubwa mnaenda kuwatafuta wanajua kuzitumia vizuri, nyie mnajema kuanzia lini?
Kunani😂🤣😂🤣?
 
Ndio tangazo lipi Hilo, hebu liweke tulichambue kwanza atiiu!
 
Back
Top Bottom