mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Wamepigwa tena, hahahaha hahahahahMashabiki wa Yanga ni vema mkawaambia Watanzania ukweli juu ya Marefa na TFF kuibeba Lipuli ktk mchezo wa leo huko Iringa.Maana klabu yoyote ikishinda utawasikia Yanga wakisema Imebeba je Marefa na Tff wameibeba Lipuli mpaka mkabamizwa 2-0?
Mkuu nusura nipaliweUjanja mwingi mbele giza
Booo!Zahera anaongea sana utadhani mndengeko
leo wamekuja na kisingizio kingine kwamba simba wamenunua ile mechiMashabiki wa Yanga ni vema mkawaambia Watanzania ukweli juu ya Marefa na TFF kuibeba Lipuli ktk mchezo wa leo huko Iringa.Maana klabu yoyote ikishinda utawasikia Yanga wakisema Imebeba je Marefa na Tff wameibeba Lipuli mpaka mkabamizwa 2-0?
Naunga mkonyo hoja πShadeeya atujibie