VIPI YANGA NA LEO MAREFA WAMEIBEBA LIPULI?

VIPI YANGA NA LEO MAREFA WAMEIBEBA LIPULI?

Mashabiki wa Yanga ni vema mkawaambia Watanzania ukweli juu ya Marefa na TFF kuibeba Lipuli ktk mchezo wa leo huko Iringa.Maana klabu yoyote ikishinda utawasikia Yanga wakisema Imebeba je Marefa na Tff wameibeba Lipuli mpaka mkabamizwa 2-0?
Wamepigwa tena, hahahaha hahahahah


Zahera anasemaje?
 
Yanga yaliwashinda yakwao wakafuata yasiyo wahusu mwisho wasiku wameambiwa Wanakula mbwa sembuse Chura
 
Vyuraa vyurani, kazi mdomo tuuu.

Bahati mbaya hata mwenyekiti mpyaa walie mpata ni walewalee.
 
Imethibitika mchawi aliyenaswa na kamera akirusharusha uchawi uwanjani alitumwa na SIMBA na goli alilokuwa anamwagia madawa hayo ndio hilo kilo magoli na pande magoli yalikoingilia
 
Tumekubali tumefungwa watani,Daima mbele nyuma mwiko,nawasabahi tu katika uzi huu.
 
Kama mdau wa soka ni afadhali Yanga wametolewa, wangetutia aibu kwenye mashindano ya kimataifa kama walivyofanya kwa misimu miwili mfululizo walipopata hiyo nafasi.

Ninapoingalia Yanga wakicheza, huwa nashangaa wanapataje ushindi, sijui ni ngekewa, kubebwa au mambo mengine yasiyojulikana.

Vv
 
Mara ya mwisho,huyo ZAHARA last time alikimbia game,hakwenda IRINGA,akatoa visingizio kibao alimtuma kocha msaidizi,saiv hana cha kujitetea,LIPULI umekuwa ni mfupa mgumu kwa NJAA FC..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] timu ya wananchi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mashabiki wa Yanga ni vema mkawaambia Watanzania ukweli juu ya Marefa na TFF kuibeba Lipuli ktk mchezo wa leo huko Iringa.Maana klabu yoyote ikishinda utawasikia Yanga wakisema Imebeba je Marefa na Tff wameibeba Lipuli mpaka mkabamizwa 2-0?
leo wamekuja na kisingizio kingine kwamba simba wamenunua ile mechi
 
safari ya chizi huwa ni ndefu lkn akirudi hurudi na makopo [emoji23][emoji23][emoji23] chura sc
 
Back
Top Bottom