Vipimo vya COVID19: Dr. Mwele na Dr. John Nkengasong(Africa CDC) walitumika kupotosha ukweli wa kisayansi (wasaka tonge kazini)

By the way, kama dakika 5 zilizopita nimewasiliana na Prof. moja wa John Hopkins University, amegundua new approach ya kutibu na kukinga Covid-19 na paper yake ni very usefull kwenye kazi yetu ya sasa. Sio mwana siasa kwa taarifa yako, ni mtafiti
Kuna ushahidi gani kuwa kuna sample za mapapai zilipelekwa maabara ya taifa

Sent using Jamii Forums mobile app

Science ya uchunguzi ( Forensic Science) inaelezea kila kitu.. Chain of custody itakuonyesha management ya sample mwanzo mpaka mwisho, Na bahati nzuri Mh. Rais na team yake walizingatia hili kwa register the coding sytem. Elimu ni muhimu sana!!
 
Anyway, kuua kirusi kwa fumigation ni kichekesho, virusi vinahitaji living cells ili kuendelea kuishi, fumigation inafanyika kwenye objects which does not necessarily host viruses.
Kama usemavyo ndivyo, " Fumigation inafanyika kwenye objects which does not necessarily host viruses", mbona tunaambiwa contamination inaweza kufanyika kwa kushika maeneo mbalimbali kama meza, ndio maana ni muhimu kunawa mikono nara kwa mara hata kama hujashikana mikono na mtu yeyote?
 

Mkuu hebu angalia upande wa pili wa shillingi kwanini uhakiki usifanywe kwa sample zilezile positive na negative zingepelekwa maabara nyingine yoyote au sample zingepelekwa kwenye maabara za WHO eg Senegal au SA ili kujua ubora wa maabara au ubora wa wataalamu wetu ila badala yake tukachukua mapapai na mafenesi hata kama ni research
 
Ahsante kwa kutambua hili, bila kuwasaidia wananchi, wanaopambana na mafanikio ya JPM watatuingiza shimoni kwa kutunga uongo kila kukicha
Mtaalamu tunaona viongozi wa nchi nyingine wanachapa kazi...mpaka mawaziri wakuu wa Uingereza na Ujerumani wakapata corona ..hivi kwa nini raisi wetu kakimbia ofisi unaweza kumshahuri vipi?
 
Sasa na amini, Ukweli uwa unachelewa kuliko uongo. Mleta mada umejaribu kutuonyesha kumbe ulikuwepo uwezekano wa kutambua sample za mbuzi,fenesi,kwale na papai kabla ya kuingizwa kwenye kipimio cha mwisho cha covid 19. Sasa Dr Mwele alitulisha matango pori Kua kipimo cha covid hakiwezi kupima sample za fenesi, papai n.k Kumbe Dr Mwele ni mtaalamu wa mabusha na uelewa wake uli ishia kwenye Caribration,Utaratibu wa kupima Covid 19 haujui.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachukuliaje maoni ya Dr. Ally na kuyatetea kua ndiyo yenye ukweli wakati bado ameuliza maswali mengi ya yawezekana. Then unawaita wengine waliotoa maoni yao kua wasaka tonge?

Wao wasaka tonge yes unawaita ila wewe ukiambiwa msaka uteuzi unakua mkali na kukana kua hapana.Jaribu kua binadamu mwenye busara kama kweli unajinasibu kama mtafitiri anafanya simulation ya madawa kwenye software.

Ukimaliza kufanya tafiti utapata dawa na kuna mwingine nae anaweza kufanya simulation na kupata dawa tofauti kwa njia uliyotumia ila uwezi kumwita msaka tonge na ukajiona wewe upo sahihi. Hii inaitwa usomi uchara.

Naomba unielewesha jambo moja; ili uweze kuthibitisha ubora au ubovu wa kifaa chochote unatakiwa kufanya test mara ngapi? na kwa vifaa vingapi? na sehemu ngapi? na kuchukua vifaa vingapi vya kuyatest?

Leo aliyeleta sample pale NIMR akijitokeza na kusema kua alipoteza samples kwa bahati mbaya na kumlazimisha kuchukua sample zingine itakuaje? mwambie mh Rais na watu wake waachane na siasa kwenye afya ya watu...hiyo maabara imeshatoa majibu kilichopelekea wengine wapo gerezani hivyo asitake kutuletea ujuhaa.
 
Mtoa mada ulianza vizuri kutaka kutuonyesha huna interest na upande kwenye hili lakini ukakosea kuita watu wasaka tonge. Kila mtu ana maoni yake,hoja hupingwa na hoja. Ukiita watu wasaka tonge unakuwa umetoka kwenye hoja umeingia kwenye malumbano yasiyo na tija. Ungeeleweka zaidi kama ungeelezea unachojua bila kutukana watu wengine.
 
Shukrani sana Mkuu nalijua hilo kwani Nchi yetu si salama kwa sisi tuliokosa “uzalendo” wa kuikosoa Serikali. Watu hawakawii kuwa na wasiwasi kama hawakuoni kwa kipindi kirefu.

Niko poa Mkuu, ahsante sana 🙏🏽

Mkuu mzima? Ulipotea kidogo hapa tukawa na wasi wasi.

Tunashukuru Mwenyezi Mungu unaendelea salama na umerudi jukwaani.
 
Nashukuru sana kwa ufafanuzi wako was kitaalam kabisa.
Nakusapot kwani hata hao waliokanusha hoja ya Rais Magufuli Mimi naona wamejibu kisiasa kwani hoja ya Rais ilikuwa ya kitaaluma kwani alibase kwenye matokeo ya vipimo hivyo hawa walitakiwa wajibu hoja hiyo kwa kusema nao wamepima vipimo visivyo vya kibinadamu kama alivyofanya Rais ndio waseme vipimo vyao vimetoa results negative hapo ndio ningeona matamko yao kwamba mashine ziko sahihi.
Kwa Mara nyingine nashukuru kwa ufafanuzi na wakuelewa wameelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ahsante pia kwa swali, kwa kufipi, kwenye analytical chemistry, kipima ubora wa kifaa unachokitumia na kazi ya operator. hii ni pamoja na kuona kama majibu yanayotoka in authentic au sio. Kupeleka sample kwingineko ni last resort kama unahitaji kujiridhisha zaidi. Lakini kwa majibu haya ni wazi kun tatitzo, kama si ya kibinadamu basi ni machine. Tume itatusaidia kujibu
 
Unasemaje wasakatonge wakt hata wewe mwenyewe kwenye makala umeweka maswali, Je wewe una uhakika kama makosa walifanya wao, kama hizi sampuli zilichukua na wasio wataalamu na kwenda kupima wenyewe kwa amri ya mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada hoja yako ya kusema hao wamedanganya iko wapi maana umeokota hoja za zinazoelezea theory za upimaji mwisho ukaachia maswali ambayo ulipaswa kujibu ili utete udanganyifu wa hao wataalam. si ungejibu hayo maswali halafu useme wapi uongo wa akina John upo?

Yumkini hujui hao walioandika hayo maandiko walikuwa wanatetea nini wewe umezichukua kuja kumtetea mpiga nyungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani nimekuelewa kwa shida sana., nimeshindwa namna ya kukujibu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…