Vipimo vya COVID19: Dr. Mwele na Dr. John Nkengasong(Africa CDC) walitumika kupotosha ukweli wa kisayansi (wasaka tonge kazini)

Lovel digest
 
Sawa tumekuelewa, Sasa andika na Uzi mwingine ukanushe, maana Kenya imetangaza kuwa madereva 23 wa Tanzania wamekutwa na korona kule Namanga. Mnajaribu kupumbazwa na wanasiasa kuwa Tanzania haina korona wakati wao wamekimbia kujificha vijijini. Chukua tahadhari
 
Makala nzuri sana. Wenye kuelewa waelewe, na wafuasi wa kigogo waendelee tu kumfata nabii wao
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna papai,hakuna fenesi,hakuna oil wala hakuna mnyama aliyepimwa wala sampuli za hivyo vitu.
 
Serlikali yenyewe inajicontradict, maabara ni ya serikali wataalamu ni waajiliwa wa serikali, vifaa kama ni vibovu vimenunuliwa na serekali,
Labda useme wachangiaji wako against upotoshaji wa magu
Test kits kulalamikiwa ni kwa Tz 5u au na kwingine kumekuwepo na malalamiko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamii forum ni sehemu nzuri sana ya kujifunza, nimejifunza watanzania wengi ni wavivu wa kusoma au wagumu wa kuelewa kilichoandikwa. Au sijui IQ za kiafrika ni ndogo kiasi ambacho tunashindwa kuelewa hata kilichoandikwa kwa lugha yetu wenyewe. Comments nyingi zinaonyesha wengine hata hawakusoma mpaka mwisho au wamesoma mara moja tu hawakurudia tena wakaelewa vizuri kilichoandikwa. Kwa wale book lovers wanajuwa unaweza soma kitabu ila usikielewe vizuri ila ukirudia mara mbili au tatu ukapata kitu, niwashauri wadau tuache ushabiki ni vyema tukasoma vizuri na kuelewa content kabla ya comment tunajiabisha kwa kweli.
 
Asante mkuu kwa bandiko zito lenye akili.
Mabandiko kama haya yalipotea kuanzia mwaka 2015 pale "watu" wa mwelekeo fulani waliposhindwa siasa na kuamua kugeuza JF jukwaa Lao la propaganda chafu.
Wamejaza vijana ambao kazi Yao ni kutukana na kupotosha tu kama utakavyoshuhudia kwenye bandiko hili. Ndiyo wanaojaza threads zisizo na mashiko zinazorudia jambo lilelile hata threads zaidi ya 10!
 
Mkuu Well done, great job, excellent!!

Mkuu nisikuchoshe kwa kazi kubwa ulofanya ya kutetea visivyowezekana, nina viswali viwili vidogo.

1. Hiki kipimo Tz tumepewa bure (msaada) au tumenunua?
2. Huu muda tunaopoteza kufanya utafiti na kupinga kifaa fake kilichotengenezwa na nchi nyingine hizo nguvu, maarifa na ujuzi huo kwanini tusitumie kutengeneza cha kwetu?

Nirudie tena kukusifia kwa kazi nzuri ya kutetea uwongo sio rahisi.
 
Ahsante sana kwa maswali mazuri, hapo ndipo JPM anapopata shida dhidi ya wazungu na mawakala wao. Anapojaribu kusimama mwenyewe anaonekana anatenda kinyume na matakwa ya wenye nguvu (World Order). By the way, aliyeleta ugonjwa kaleta na vifaa vya kupimia na analazimisha kutumia hivyo vifaa hata kama ni vibovu.
 
Ulimwengu umejaa wajinga sana hawahitaji kufikiri.
Hata ungeandika kwa utalaam gani kama hautakuwa aganist na serkali iliyopo madarakani hutapata support.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa wanataka kila anaekuja apingane na serkali tu.
Wapinzani wa miaka hii kazi ipo.

Yaani, kwao upinzani ni kupinga kila kitu na kutukana tu.

Binafs nawapa dole la kati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisahau hao hao wakenya waliwapima madereva wao na kupelekwa karantini, alipimwa mara ya pili ikaonekana hana corona. Aibu!!
 

Hahaaa akipeleka kwa hao watabe na kwakuwa kasema yeye kwasasa anadeal na simba sijui na nyani atakutana na hii kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…