Vipimo vya HIV vinanichanganya


Tatizo la Tanzania Wakweli au Wawazi hatupendwi halafu na Jamii yetu kubwa nayo imeshaambukizwa kuuchukia Ukweli hivyo sikushangai Wewe kupovuka huku. Kwani una uhakika gani labda kuwa Mimi ni HIV- Mkuu? Yawezekana nikawa ni Muathirika hivyo kupitia uzoefu wangu nimeamua tu kumpa huyo Mtu msaada ambao labda alikuwa haujui ili aweze kujiandaa kuliko kutegemea kusikia tu pole zenu ambazo nyingi zinaweza kuwa ni za Kinafiki tu. Najiona nimekuwa Shujaa kwa kunyoosha maelezo na kumwambia ukweli huyo Mleta uzi na natumai amenielewa pia.
 
Mhhhhhhh hata ndugu. Kila la heri.
 
Sd bioline( kipimo cha kwanza) kiko sensitive sana hata kwa other infection kama syphillis,tb nk,,ningeshauri afanye kipimo cha VDRL kwanza
 
Sd bioline( kipimo cha kwanza) kiko sensitive sana hata kwa other infection kama syphillis,tb nk,,ningeshauri afanye kipimo cha VDRL kwanza
Vdrl nikipimo chann mkuuu sorry?
 
Ana dalilo gani maana ni bora kama anawasiwasi ajiweke upande wa postive maana ili isiwe suplaizi maana....
 
kama amebadili center na majibu ya mwanzo ni hayo hayo huyu ana ukimwi wanasita kumpa majibu sahihi kwa sababu inaonesha amepanic..
hebu mpeleke center nyingine kafanye kipimo cha kuhakiki tu
 
raha ya ukimwi uupende utaishi kwa raha zako ukiuchukia na wenyewe unakuchukia
 
Aanze kujiandaa kisaikolojia tu!! Ukweli ni kwamba anao!!!
 
Dah..huu ugonjwa ni amsha popo....usikie kwa mwingine tu...ila usikufume...Mungu ni mwema wakati wote
 
Kwani ni lazima apimie hapo hapo, si aende na kituo kingine apime aone majibu yanakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…