GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwa nini unakuwa rude hivyo kwa mwenzako? Hujafa hujaumbika. Labda uwe huna mahusiano yoyote diniani sexually. Pia hujui ndugu na wanao watakuwa na maisha gani. Ngoja yakufike au yaifike familia yako. HIV is nothing duniani. Mimi ninaogopa cancer tu. With HIV unadunda miaka ukiikubali hali. Tell me about cancer!!!???
Tatizo la Tanzania Wakweli au Wawazi hatupendwi halafu na Jamii yetu kubwa nayo imeshaambukizwa kuuchukia Ukweli hivyo sikushangai Wewe kupovuka huku. Kwani una uhakika gani labda kuwa Mimi ni HIV- Mkuu? Yawezekana nikawa ni Muathirika hivyo kupitia uzoefu wangu nimeamua tu kumpa huyo Mtu msaada ambao labda alikuwa haujui ili aweze kujiandaa kuliko kutegemea kusikia tu pole zenu ambazo nyingi zinaweza kuwa ni za Kinafiki tu. Najiona nimekuwa Shujaa kwa kunyoosha maelezo na kumwambia ukweli huyo Mleta uzi na natumai amenielewa pia.