Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa pesa upewe, yaani unaomba tuu? Unadhani aliyeiweka bila vipimo ni mjinga?
Aisee, taratibu MkuuToa pesa upewe, yaani unaomba tuu? Unadhani aliyeiweka bila vipimo ni mjinga?
Ndio Mkuu, Room mbili tu hapo na kasebule ka kishkajiKako simpo sana, kazuri
Mkuu kuna watu wamesomea hayo mambo chuoni miaka 5 nakushauri uwatafute uwalipe wakufanyie hiyo kazi.
Toa hela tunakufanyia hiyo kazi boss
Nyumba ni finishing aiseee, ungekikuta na tofari tu unakikimbia hiki
KweliNyumba ni finishing aiseee, ungekikuta na tofari tu unakikimbia hiki